Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,355
- 108,486
wengine ndo hawa sasa
babamkubwa hata wewe!!!!
Mimi nimefanyaje kwani?...kuna kosa kumkosa mtu ninayefahamiana naye?
wengine ndo hawa sasa
babamkubwa hata wewe!!!!
Mimi nimefanyaje kwani?...kuna kosa kumkosa mtu ninayefahamiana naye?
Kuna wakati hautakiwi kuwa serious sana na maisha....
Yatakuboa!
Pole sana, kuna vitu kwenye maisha haufundishwi una experience kupitia maumivu mengi na misukosuko ya kutosha.
So kitu pekee dunia itakachokuambia kwenye mda kama huo ni "POLE, VUMILIA, ENDELEA NA SAFARI, HAYO NDIO MAISHA"
BAK hapo kwenye ID ndio utata
Nimetokea kumpenda sanaaaa kaka mmoja hapa jamiiforums!
Kusema kweli tulikuwa marafiki mwanzo ila yeye akasema ametokea kuvutiwa na maongezi yetu na ananipenda and blah blah blah..nikawa nasita sana kwasababu najua niko mbali nae na mambo ya long distance ni matatizo (kama walivyosema wahenga fimbo ya mbali haiuwi nyoka) lakini kwasababu alisisitiza sana anahitaji kuwa na mm nikaona kwanini nisijaribu kumpa nafasi japo nilishaumziwa sana mwanzo..
Huyo mtu kwa maelezo yake ni mgane na ana watoto wawili...Mwanzoni kila kitu kilikuwa shwari maongezi saa zote..tukaplan mpaka kuonana..kusema kweli nilikuwa na matumaini sana na furaha nimeshapata mwenza...
Ikatokea ishu kwamba alikuwa na matatizo ya network ya sim kitu ambacho kinaeleweka mawasiliano yakaanza kuyumba ila net alikuwa nayo lakini hakuona kama njia ya mawasiliano...Sasa kinachoendelea ni kwamba tangia tarehe 4 mwezi huu kapotea...namuona watsapp na naona anapata ujumbe wangu lakini hanijibu..na pia nilimuona facebook minamo tar 6...lakini mimi mawasiliano nae sina kwasababu hapokei simu zangu,hajibu sms zangu na sijui pakumpata..na ameniblock watsapp leo hii coz nimeshafanya uchunguzi na nimegundua kwamba ameniblock! Nakaa nikijiuliza nimemkosea nini kustahiki kutendewa hivi sielewi!kama hawezi kuwa na mimi kwanini haniambii kwamba hanitaki?kama hana mawasiliano mbona namuona online?
Sikujua kama watu wengine wamenyimwa ustaarabu kiasi hiki! Sio siri nimempenda na kumuamini sana huyu mkaka lakini naona kaniachia donda kubwa sana moyoni mwangu maana hata sielewi nimuweke fungu gani najiona -------- nilopindukia kujirahisisha na kumuamini mtu nisomjua! Au sijui ni mimi ndio na overreact na kumfatilia sana?
Nisaidieni jamani nahisi kuchanganyikiwa si ndo wendawazim huu mungu wangu!
Umeonaeeh! Hili pia nimelifikiria sana
Samahanini wanajamii forum sidhani kama mutanufaika na lolote Kujua ID yangu!
Naijua sura yake kumblock sio tatizo ila tatizo moyo wangu umeanguka kwake!
Yaaani umelalamika hadi nimejisikia kukuonea huruma hii sredi kweli inatoka moyoni!
Usijali huyo alikuwa anakudanganya, we tulia utampata mwingine.
Nitumie id kwa siri kama utapenda!
I have a lot of thoughts going through my mind right now..and i have considered the fact that i might be overreacting too but i dont want either to keep my hopes high because its a 50/50 chance!By the way i like your theory of testing the depth!cheriefrance,
You were racing too fast. Hotter than a set of twin babies.
Usiwe unaingia kwenye dimbwi mzima mzima. Uwe una test the depth kwanza kabla hujaingia. Anyway, pole.
As much as I would like to agree with many that have contributed here, there is another angle of thought I would want you to delve into.
Give him some time and he might come up with logical explanation for his behaviour.
It may be you are over reacting.
Thanks for your insult!cheriefrance, ur name is smarter than u really are!!!!:disapointed:
Thanks for your insult!
Thats exactly what I am doing...My bad...never meant to!
I learn from my mistakes and it makes me a stronger person ! ---use this for your current situation