BAK naomba wimbo wa Mapenz yanarun Dunia sijui kama kaimba Ali Kiba au Diamond
message ninayotaka apate huyu bidada na wengine ni ''MAPENZ YANAENDESHA DUNIA, NA JUA KUWA MWANAMKE AKIPENDA, KAPENDA KWELI''.
kwahiyo wakaka wote mnaofanya trial and error kwenye mwpenz mnawaumiza wadada kama hawa, ila nawe mdada/mschana huku mitandaoni nawe fanya trial and error ili hata asipokupigia nawe unalala usingizi wacha yeye ndo akutafute hata ikipita miezi sita poa tuu after all mmekutana na miaka zaidi ya 20, utashindwa kaa miezi 6 bila kumuona au kusikia sauti yake? Jipe moyo kwa maneno haya, FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITEE na KUVUJA KWA PAKACHA NAFUU YA MCHUKUZI so mwanamtandao ambae mnachat nae kila mahali akisepa na akikuchunia mchukulie kuwa kavija kwenye pakacha lako nawe umepunguziwa mzigo kuendelea mbele.
NB: MAADAM HUJATAJA ID YAKO YA ZAMANI NA ID YA HUYO SO CALLED LOVER nimehisi annaweza kuwa alikuwa hubby wangu niliyetaka kumuacha maana nae alikuwa busy na mitandao kwangu alikimbia, now karudi and he's with me most of time, so amerudi kwangu wewe tafuta mwingine alikudanganya kuwa ni mgane mkewe yupo tena mzuriii wa sura na tabia, japo hakosi kasoro kwani si malaika.
Poleeeee kwa kuumizwa moyo.