Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Sasa ndio uje na mask kabisa, vibao nje nje.
Hahaha! Wanataniana kwa vibao....
Hahaha! Wanataniana kwa vibao....
I believe you can find love anywhere!
af wewe hv unajua tukifungua kile chuo kikuu cha DIPLOMA OF HARDCORE MEN MANAGEMENT tutatengeneza sane hela!Sasa ndio uje na mask kabisa, vibao nje nje.
Sijakuelewa!Hivi ile phd ya umbeya ilikuwa sandwich program na havard ama yale?
Mbona unanikoroga akili ndugu !mchango wako utanirahisishia mambo mengi!haaaa hivi simjui kweli. i know him. Dada ni zaidi ya unavyoifahamu. Mshukuru Mungu tu hapo mlipofika. Foleni ya humu ni noma tena inatia hasira. Tafuta mwingine ila wangu hapana.
Mbona unanikoroga akili ndugu !mchango wako utanirahisishia mambo mengi!
hv wewe bado tu umekomaa na huyo mwanaume!?
watu mna moyo!
kusema kweli ningewapenda watoto wake kama wangu i love children,i would help him raise them!
Niseme tu ili iweje ndugu yangu!yametoka moyoni..sipendi kusema vitu ambavyo sina uhakika navyo!Hayo yanatoka moyoni dadangu? ua blah blah za mahaba,,, then uwazingue,,,, jifikirie wewe kama wewe kwanza, then think wat u want......pole sana but be smart...
Sawa nitarekebisha niandike mgane..tunda hajapata..Ww mwanaume. akfwa aitw mjane ila n mgane..
Hlo n jarbu kw hyo lazm upte
Vp 2nda la mti wa mema na mabaya umeshawah kumpa?
Wanaume wa aina hiyo ambao hawana confidence JF wamejaa kibao. Inawezekana kukaa kimya ndio ameona njia pekee ya kukwambia kuwa its over. Lakini mm naona ni ushamba, na immaturity. Ukiamua kuingia kwenye relationship na mtu yeyote wa JF, usijiachie anything can happen at any time, t.
Pole mdogo wangu, ndio maisha. Mshukuru MUNGU ameamua kukimbia mapema, mwingine angekuachia VVU.