Najihisi kuchanganyikiwa....

Najihisi kuchanganyikiwa....

ulikuwa na besideii nataka keki yangu!
af umeadimika kweli yani,kwema?:smile-big:

si kwema mpenzi yaani nipo bush maisha haya we acha tuuu.afu jamani eti odo maambukizi ya ukimwi kwa tz yakoje?kila kwenye watu 5 au 10 mmojawapo ameumia?
labda tukumbushane kwa hili kwanza
 
si kwema mpenzi yaani nipo bush maisha haya we acha tuuu.afu jamani eti odo maambukizi ya ukimwi kwa tz yakoje?kila kwenye watu 5 au 10 mmojawapo ameumia?
labda tukumbushane kwa hili kwanza
yani hiyo mbona ni data ya zamani odo!
muulize King'asti aje na data za hali halisi!
ni noumer
 
Last edited by a moderator:
aaaminaiyer!
poa poa!
ndo mana jana alikuja na ile ya kibuti enh!
safi!

nitupie link ya kibuti mwendhio sijaingia siku nyingi humu so nimepitwa na mengi loooo hii yenyewe kama bahati kuifungua
 
nitupie link ya kibuti mwendhio sijaingia siku nyingi humu so nimepitwa na mengi loooo hii yenyewe kama bahati kuifungua

ah mi thijui kuweka link bana!
muulize mwenyewe thi uyo hapo chini!
 
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh hapa ndo penyewe akuuuuuuuuuuu
Mbona mguno mkubwa?
 
Wewe bazazi Asprin kwanini ukunishtua mapema kama kuna risled kama hili sasa ona limeishafika page ya 14 sasa nani atanisikiliza??nimeona madongo tu humu! amu nakuomba huyo mkaka tumia line nyingine utampata! snowhite unamaneno subiri na wewe ublokiwe whatsupp na viber then unaona watu wako online ukipiga sipo not reachable lisled tamu sikuliona kabisa na huyu mkoloni kwaniweka busy sana hii wiki!
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wa aina hiyo ambao hawana confidence JF wamejaa kibao. Inawezekana kukaa kimya ndio ameona njia pekee ya kukwambia kuwa its over. Lakini mm naona ni ushamba, na immaturity. Ukiamua kuingia kwenye relationship na mtu yeyote wa JF, usijiachie anything can happen at any time, t.

Pole mdogo wangu, ndio maisha. Mshukuru MUNGU ameamua kukimbia mapema, mwingine angekuachia VVU.

Pacha Pm zina mambo, acha tu.
 
Wewe bazazi Asprin kwanini ukunishtua mapema kama kuna risled kama hili sasa ona limeishafika page ya 14 sasa nani atanisikiliza??nimeona madongo tu humu! amu nakuomba huyo mkaka tumia line nyingine utampata! snowhite unamaneno subiri na wewe ublokiwe whatsupp na viber then unaona watu wako online ukipiga sipo not reachable lisled tamu sikuliona kabisa na huyu mkoloni kwaniweka busy sana hii wiki!
ahhhahahhaha mi huwa sitendwi bila kujua kuwa natendwa asee!
yani the moment mtu anajipanga kuniblock whattsup sijui na viber mi siku nying nishamblock moyoni!
NA UZEE HUU?
kha!
ntake lazi mzee mwenzangu!lol!
 
Back
Top Bottom