Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,339
- 108,426
Kwa hii thread naona unazidi kujirahisisha tu na kama kweli huyo mwanaume ana akili nzuri atajua kwa namna gani ambavyo humfai...
Kitu kidogo tu kama hicho tayari unakuja kukitangaza hapa jamvini...ni hivi bi mkubwa elewa jinsi mchezo wa mapenzi ulivyo...hapo hutakiwi tena...
Sio mara zote neno HAPANA huja kama lilivyo!!!