Najiachiaaaaaa

Najiachiaaaaaa

siamini kwamba dunia utakosa mtu unayefanana nae. hata humu jamvini wapo. na kuna wengi tu wangependa kuishi kama ww. so hilo sidhani kama ni la msingi sana.

kuhusu kufurahia maisha, kila mtu ana mtazamo wake kuhuku kipi kinamfurahisha. lkn kama nimekusoma vizuri uliyoandika na ambayo hukuyaandika ila yanaonekana ktkt ya mistari, nadhani umeanza kuchukua hatua ya kubadilika. unadhani maisha uliyoaishi imetosha na sasa unajaribu kuisukuma hulka yako kwenye aina ya maisha tofauti na hiyo. binafsi naona hii ni hatua nzuri. wengi wetu tumeishi maisha ya kujirusha na mwishoni hurudi 'kundini' na kuishi maisha ya 'kawaida' (wengine wanapenda kuyaita a more responsible life).

Naamini ukimpata mtu sahihi utagundua kuwa ni yeye uliyekuwa unamtafuta ili uanze nae familia. na muombe Mungu wako akuoneshe huyu mtu ili nawe ujaribu maisha ya familia. labda utakuja kuyafurahia zaidi kuliko maisha ya kujiachia ambayo tayari unayajua na umeyaishi kwa muda wa kutosha. Muda nao hauko upande wako, manake wanasema usiringie ujana, fainali uzeeni.

Lkn pia kama hapatikani mtu wa kuwa nae kwenye familia na kama unadhani unahitaji mtoto, for sure, kwa uzoefu wako unajua nini na nani atakuwa bora kwako kwa hili. unaweza pata mwanao na ukaendelea na maisha huku ukimtunza mwanao.
 
Njoo ufanyiwe maombi... kwa jina la yesu,,, njooo ufanyiwe maombi.... ukiombewa, tatizo lako ni dogo, ukiombewa, tatizo lako ni dogo! You reminds me of this Gospel song........
 
Tetetete Boss kubwa, majukumu mzee siunajua nimehamia jiji lingine? Nimebanwa kinoma. Nitakuvutia waya tuongee zaidi nikushauri naona pepo wa majaribu anakusumbua sitaki uwowe used. Unajua kuna gari used japan,hogkhon then na ngara TZ,ukinunua hio gari jiandae kuwa fundi mechanics bila certificate,nakusababishia watu foleni gari yako itakuwa inakwama na kuzima kwenye mataa
Hhahaha!!! Nguli banaa
 
Kweli umejiachia mdogo wangu.

Umefanya vema kuomba ushauri kwa wana jamii. Maisha unayoishi kimsingi si mazuri kwa mtizamo wangu na labda kwa wengi pia. Nasema hivyo kwa sababu hata wewe unaonekana hujielewi kama unavyoishi ni sawa au la. Ni vizuri kwamba unajitegemea, unapenda watu, nk. Umesema unafurahia ngono si vibaya ila mdogo wangu nina hakika kama huna mtu maalumu kwa swala hilo unakuwa na yeyote cha msingi unapractice safe ngono. Mimi nakwambia kwanza mwili wako sio cha wote ni kwa mtu maalum, na inawezekana hujapata bado huyo maalum kwa sababu huelewiki na wao hawakuelewi. Mara nyingi na kwa ufahamu wangu hata ukiona mwanamume anakufuata kwa nia ya kutaka kukuoa akigundua kuwa wewe ni cha wote huwa anafuta mpango mzima na kutafuta mwingine wa kuoa hiyo imetokea kwa wengi na nina mifano halisi, pia akiona unajiona uko juu labda kwa fedha au hali ya uchumi uliyonayo pia anasepa kiaina, na ukiwa wa kujirusha sana linakuwa neno pia.

Kama imefikia mahali huelewi kama unavyoishi ni sawa badilika tulia kuwa na tabia zinazokubalika na muombe Mungu akupe mwenzi wako wa maisha.
 
nadhani kuna kitu hamjakielewa kwa mleta mada au kuna kutaka kukimbia ukweli.
kwa ufupi kila binadamu anaamua anataka kuendeshaje maisha yake!! hilo sioni tabu (either iwe positive or negative).. but from her points she might have dated with 2 wazunguz, 2 asians na 3 TZs- je ukipitisha survey humu ndani je kuna mtu ambaye hajatimiza hao tangu uanze kufanya hayo masuala? the answer might be NO.
so what i suggest ni kwa wewe LOVEBITE kuchukua uamuzi kama unataka kuolewa then select one then anza kutengeneza uhuusiano utakolekea ndoani if that is the best for you!!. otherwise kama hutaki ndoa na unataka mtoto tafuta njemba utakayoelewana nayo then you get a kid!
 
Thank wote kwa opinions zenu ila its not that napenda ngono bali nafurahi n I always practuce safe sex n am not shy wen it comes to (me+u+bed) lol lol, the thing is hivi kuna watu wanaishi kama mimi na wanaona wako sawa au? kama nlivosema sjielewei kama natafta ndoa or im livin my life first b4 becomin someone' wife? i just wish for raisin a family someday but kama mdau wa kwanza alivosema maybe ndo changes zenyewe.

Nimekusoma cna ka mwanaume nkaona haya,u nidi to setle now,u a 30 if u want 2 one day c yo kids whle u stil have power and capacity 2 help and enjow wth them then 2lia ili uweze kumsoma mchumba mmoja 4 a year then uolewe ctaki kuona au kusikia bdo hujaolewa one year to come,starehe ulizopata cthan ka ngen tena kwako kwa sasa,pls just imagne mwanao akifikisha umr wa kujitambua na kuweza kupeana mawazo from 18 we utakua umr gan,so put it in yo brain
 
Tetetete Boss kubwa, majukumu mzee siunajua nimehamia jiji lingine? Nimebanwa kinoma. Nitakuvutia waya tuongee zaidi nikushauri naona pepo wa majaribu anakusumbua sitaki uwowe used. Unajua kuna gari used japan,hogkhon then na ngara TZ,ukinunua hio gari jiandae kuwa fundi mechanics bila certificate,nakusababishia watu foleni gari yako itakuwa inakwama na kuzima kwenye mataa

hehehe ushauri umekuja too late boss kubwa! tayari nishalembea CV kwa lovebyte na hapa niko kwenye microsoft word natype barua la uchumba. I cant wait to strip naked b4 my crazy lover (source: mchumbaangu lovebyte).
 
Extroverts who during adolescence spent much less time socializing with their peer groups are likely to face personality conflicts at the age of 24 to 40.

The only sentiment served best is that leading to sexual satisfaction with only body touches from opposite sex. Much you would like to critically learn is as to whether you are safe physically, emotionally and spiritually.

LOVEBYTE: Check as to whether you by chance or circumstance skipped some important joys (sexual satisfaction) in adhering to calls of your personality and mental growth especially in adolescence.

Thank you for volunteering to bring this motion here.
 
Uporoto,Nemo tayari ana prince wake wa daima na milele,au nakosea Nemo? usinishushue mbele ya Uporoto tafadhali,just say yes ninaye!

Bishanga:
Hahaha NO comment!.....

Ila kama unamjua any prince asiye jali sana umri na ambaye yuko tayari
  • kufua
  • kupika
  • kunithamini
  • kunitunza n.k
Please send him my way, and Ill forever be grateful to you:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Thank wote kwa opinions zenu ila its not that napenda ngono bali nafurahi n I always practuce safe sex n am not shy wen it comes to (me+u+bed) lol lol, the thing is hivi kuna watu wanaishi kama mimi na wanaona wako sawa au? kama nlivosema sjielewei kama natafta ndoa or im livin my life first b4 becomin someone' wife? i just wish for raisin a family someday but kama mdau wa kwanza alivosema maybe ndo changes zenyewe.

How old are you? And when did you start kujiachia? Wengi tumepitia hizo stage za kujiachia as if there no tomorrow, lakini inafika wakati unachoka na kuona hakuna tena kipya. Unatulia unatafuta mwenza wa maisha na maisha yanaendelea. Hata ukisikia matangazo ya redioni kuhusu starehe wale hayakushtui tena because you have been there, done that.

Jiachie, na kama wengi walivyosema, uko sawa tu, muda ukifika utaacha. HAVE FUN!
 
Aaagh! pole kwa ugonjwa wa kupenda sana ngono (inavyoonekana), utabadilika tu muda ukifika, ila kwa wakati huu jitahidi uwe unawakumbusha jamaa wanaokupiga mpingo wawe wanavaa kondomu manake bongo si salama tena, inawekana kabla hujabadilika mdudu kashachumpa halafu hata mabadiliko hayatakuwa na umuhimu tena!
Mkuu hizi lugha nyingine dah :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::dance::dance::dance::dance::dance:
 
unakula raha sana, but as long as u prayed God is so faithfull and he will change ur life style, ila jitaidi pia kubadili maisha ikiwa bado ni mapema maana siku ukizinduka usingizini itakuwa too late tho wanasema its never too late.


LAKINI NDUGU YANGU - SIO MAOMBI YOTE YANAFIKA KWA MUNGU - MUNGU ANA PRINCIPLES ZAKE JAMANI - SEMA MUNGU AMEJAA NEEMA -
sitaki kuandika zaidi nisije - onekana nahukumu. 😛eace:
 
Kwanza nakupa pole sana dada yangu,Mimi ni Mkiristo yaani Mlokole,niliposoma tu nikagundua una pepo la NGONO,na hiyo ni dhambi na mshahara wa dhambi ni mauti,hiyo CV yako inaonyesha wewe ni Loose girl,kama wewe ulivyo tuchanganyia lugha,au kwa maneno mengine wewe ni son of the bitch,kwa hiyo kama unataka mabadilko inawezeka njia ni KUTUBU na kumrudia MUUMBA wako,na kwa wasichana kuishi maisha bila kuolewa sio kuwa malaya yaani foxes,unatakiwa kuishi maisha yenye utukufu kwa Mungu.Please my young sister repent,your days are number,Umepima ngoma,yaani UKIMWI,Maana umesema umetembea sana na wahuni wa ulaya,marekani na asia.Pia pima akili yako.Asante na pole sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom