Najiachiaaaaaa

Wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake ambao ni too independent. Kwa uwezo ulionao wewe labda uoe sharobaro. Yaani wanaume wengi wanaona sawa kama mwanamke utapata mafanikio ya juu ukiwa tayari ni mkewe, lakini kukuoa ukiwa na kila kitu sijuhi kwa nini wengi hawana hiyo confidence; hata kama nao pesa ipo wanataka mwanamke wa kawaida kifedha. May be wanakuwa hawaoni femininity kwa mwanamke mwenye uwezo.

Na kosa kubwa la wadada walio na uwezo ni kusimulia. Yaani unapata jamaa wewe unaanza kubwabwaja "niliponunua BMW X5 nikasema sasa nijenge" kumbe ndio unaharibu kabisa. Bora ukae kimya akijashtuka kuwa wewe mambo safi too late kesha fall.

No wonder kina 'MARIOO' kila kukicha wanaibuka kama uyoga mjini.
 
  1. lovebyte japokuwa hujasema umesomea wapi au umekulia wapi mie nafahamu wewe umekuwa affected na western cultural (nadhani umesomea usa,uk ,nk.......hiyo ndiyo inayokuathiri kiakiri sana
  2. maisha ya watu wa western na bongo ni tofauti sana hivyo nakushauri anza kutafuta maisha ya familia mara moja
  3. utakwendaa hivyo mwisho wa siku utaanza kutamani maisha ya watu wanaokuzunguka kwa most of tzs wanaishi maisha ya familia zaidi
 
Hi, mie ni msichana wa miaka 30, I have my very on lifestyle which me mwenyewe sijielewi. I am working n managed to rent a house and buy a car some years ago.

I live in Dar with a house girl n security guards only. I have such a free life that I can even hang out with friends for some days outside Dar. Sina boyfriend, but have hooked n dating some cute guys out there.

I have a dream of getting marriage somedays ahead but I dont see anyone among my close dudes as ideal though aint desperate. I party out a lot sana n I work a lot too.

Have dated Wazungus, Asians n more of Tzans. I enjoy sex sana n I cant wait to strip naked b4 my crazy lovers, lol. I dont understand myself kwa sababu cjui lini maisha haya yataisha na wala sielekei kuyachoka au kuyakubali .

Ki ukweli naishi kama hivi am a Christian n i also pray to God to fix wats i LACK IN MY LIFE OR CHANGE THE WAY I ARE. Sijielewi nataka au sitaki nini kwenye lifestyle of mine regardless of my age.

I CARE 4 my family n friends as well. I am very easy person to get along with n I am such a lady who jokes a lot n down to earth.

Hebu nisaidieni wana JF hivi kuna mtu mwingne yupo kama mimi au me ndo maisha yashanshinda? Na je what can i do?

Samahanini kwa kuchanganya lugha.

Hebu ni pm kunajambo moja nataka kushea nawewe tu plz!!
 
hee mswahili balaa huyo tayari used alaf mtu mwingine unakomaa aku pm acha ujinga wewe kama alikuwa na shida ya private si angekupm kuliko kuleta thread ijadiliwe.vua hilo gamba la uzinzi although utabakia mzinzi.

pili nashangaa mtu anauliza umepata faida gani,wakati mdada keshajieleza anamiliki gari,nyumba,guards na housegirl,na starehe kwa sana huoni kwamba ndo faida yenyewe na kumalizia faida nzuri na ya maana ni hiv aids ambayo itasababisha tumzike na kilo mbili.

mwingine kakusifu umesomea western, acha habari hizo umalaya hauna western wala eastern,wewe mama endelea tuu kutuhudumia sisi wazinzi ambao tumeoa na tunapenda watu wa style yako.

namshukuru yule aliyenisapot kwenye age ya kuolewa,ukweli ni kwamba ww sahivi ni bikizee ukiangalia life expectancy imeshuka sana kwa nchi ya dunia ya tatu.wewe ukiangalia umri wako jumlisha na mihuri unayopigwa lazima utakuwa umechoka tuu.jaribu kuvuta picha ulipoanza mapenzi raha uliyokuwa ukipata enzi hizo shimo likiwa tight na sahivi lishalegea raha ipoje.so ujue ata utayeona anafaa kuwa mume wako hataweza kubesatisfied with that na usiombe furniture yake iwe ya size ndogo itabid aende buguruni kuomba dawa ya kuongeza unene na uref wa furniture.
 
  1. lovebyte japokuwa hujasema umesomea wapi au umekulia wapi mie nafahamu wewe umekuwa affected na western cultural (nadhani umesomea usa,uk ,nk.......hiyo ndiyo inayokuathiri kiakiri sana
  2. maisha ya watu wa western na bongo ni tofauti sana hivyo nakushauri anza kutafuta maisha ya familia mara moja
  3. utakwendaa hivyo mwisho wa siku utaanza kutamani maisha ya watu wanaokuzunguka kwa most of tzs wanaishi maisha ya familia zaidi

Nimesoma TZ na najuuuuta kusema ukweli hapa, am looking for ur views and what u guys see right or wrong before my lifestyle na kudate na Westerners it does mean kwamba washafika kumi? Hivi kila mtu akiulizwa keshatoka na wangapi hapa ataandika idadi gani? To be honesty am a Senior Manager in a certain international NGO, na cjasema kama nataka kuolewa au natafta mume i wonder why ppo judge wat is not due?? Thanx ppo kwa maoni mengi ambayo hayaonesha nia ya ufumbuzi but machache I can take note of.
 
hee mswahili balaa huyo tayari used alaf mtu mwingine unakomaa aku pm acha ujinga wewe kama alikuwa na shida ya private si angekupm kuliko kuleta thread ijadiliwe.vua hilo gamba la uzinzi although utabakia mzinzi.

pili nashangaa mtu anauliza umepata faida gani,wakati mdada keshajieleza anamiliki gari,nyumba,guards na housegirl,na starehe kwa sana huoni kwamba ndo faida yenyewe na kumalizia faida nzuri na ya maana ni hiv aids ambayo itasababisha tumzike na kilo mbili.

mwingine kakusifu umesomea western, acha habari hizo umalaya hauna western wala eastern,wewe mama endelea tuu kutuhudumia sisi wazinzi ambao tumeoa na tunapenda watu wa style yako.

namshukuru yule aliyenisapot kwenye age ya kuolewa,ukweli ni kwamba ww sahivi ni bikizee ukiangalia life expectancy imeshuka sana kwa nchi ya dunia ya tatu.wewe ukiangalia umri wako jumlisha na mihuri unayopigwa lazima utakuwa umechoka tuu.jaribu kuvuta picha ulipoanza mapenzi raha uliyokuwa ukipata enzi hizo shimo likiwa tight na sahivi lishalegea raha ipoje.so ujue ata utayeona anafaa kuwa mume wako hataweza kubesatisfied with that na usiombe furniture yake iwe ya size ndogo itabid aende buguruni kuomba dawa ya kuongeza unene na uref wa furniture.

Faida nlopata na kurelax na full kujiachia cnaga stress wala cjui ikoje, nimefanya professional networking nyingi sana plus marafili with different affiliations? Nimelearn xtra skills in life thru this kind of life. Those that I own nimenunua kwa pesa yangu wala c mkopo wa bank au kwa mtu. As i said I work a lot sana na i like my job plus insipiring others to work hard tooo. Need I say mo???
 
Pamoja na yote yaliyosemwa na wanajamvi naona hatujakata kiu yake.
Amehoji kama kuna mtu mwenye "kujiachiaaaaaa" kama yeye, wanajamvi tumeacha hili tumerukia kumshughurikia,
Wenzangu na mimi weshaona wamepata "slope" enzi hizo tulikuwa tunaita kutikavu, yaani linatereza lenyewe.

Hey LOVEBYTE!
Sasa sijui nikupe pole au hongera.

Binafsi sipo kama wewe, japo kuna kitu tunafanana... napenda sana ku-du.
Lakini ninamsweety mmoja tu (wife to be) huyo ananihudumia kila mara, nadhani hii ndio tofauti yetu.
Nimeshawahi kuwa na mtu mwenye lifestyle kama yako.

Alikuwa shangazi yangu, yeye alikuwa ni mfanya biashara wa wastani kwa enzi zile walikuwa wameanza biashara na wakina S.H.Amon.
Huyo aunt yangu alikuwa ni mtu wa bata na kujiachia balaa, kwa masimulizi yako ni mmefanana sana hayo matukio yenu.

Ofcz kama kawaida ya binadamu, hata ujitoe akili kwa kiasi gani ila kuna siku zitakufikia ambapo utakabiliana na nyakati za ukweli.
Mwishoni aunt alitumia mda mwingi kujilaumu na kulaani lifestyle yake kwamba imemkwamisha kwa mengi.
Lakini alikuwa amechelewa tayari, mara akaanza kuugua, marafiki wakamkimbia, tukampumzisha kwa amani coz mwishoni aliokoka!

Ok, turudi huku kwako LOVEBYTE.
Sidhani kama ni muhimu sana kwa wewe kujua kama kuna mtu unafanana nae ki-lifestyle.
Tufanye umewajua, sawa mtashare exprience? then?
 
Faida nlopata na kurelax na full kujiachia cnaga stress wala cjui ikoje, nimefanya professional networking nyingi sana plus marafili with different affiliations? Nimelearn xtra skills in life thru this kind of life. Those that I own nimenunua kwa pesa yangu wala c mkopo wa bank au kwa mtu. As i said I work a lot sana na i like my job plus insipiring others to work hard tooo. Need I say mo???
how many kids do you have, or if you dont have any,what is your plan as far as kids are concerned......
 
piga maombi sana utapata bwana anekufaa jaribu kuwa na mpenz mmoja utafanikiwa
 
Hi, mie ni msichana wa miaka 30,

Have dated Wazungus, Asians n more of Tzans. I enjoy sex sana n I cant wait to strip naked b4 my crazy lovers, lol. I dont understand myself kwa sababu cjui lini maisha haya yataisha na wala sielekei kuyachoka au kuyakubali .

Uko vizuri tu - Endelea kula raha!
 
uko usingizini,utakapoisha huo usingizi utajua nini kilikulaza.Aim to change,maana jinsi ulivyo ulichagua kuwa hivyo.Pia waweza amua kuchagua upande mwingine wa kujinyima ukisubiri wa kukuoa kama sio kuoa.
 
Huyu mtu hatafuti mpenzi anachohitaji ni msaada ili aondokane na tabia alizo nazo,pole dear,ila usijali hakuna tatizo au tabia zisizokuwa na ufumbuzi,nakushauri tafuta tiba ya ushauri utafanikiwa,humu Jf kuna wajinga sana na werevu sana hivyo usijali dear!
 
hata mimi sijakuelewa kabisa unajigamba we malaya au wewe matawi sijakuelewa
 
Change your Lifestyle, Sihitaji kukuhukumu,K wasababu yupo atakayetuhukumu sisi sooote, Hakuna mtu Mkamilifu, Na dhambi zote zinafanana, wakati wewe unaendelea kubadilisha sexy partners mwingine anapanga kumuibia Mwajiri wake, kitu ambacho wewe hufanyi na zote ni dhambi tu, Ukitembea na watu kumi na yule anayetembea na mtu mmoja wote ni wazinzi tu MMETENDA DHAMBI.
Kinachotakiwa ubadilike, kupenda ngono sana hilo ni pepo, japo unaweza kuuita life style lakini ni PEPO LA UZINZI.Ndio maana kukaa uchi kwako sio taabu. Kwa miaka 30 uliyonayo sasa inatosha kwa uliyoyafanya badilisha yawe historia , na ukishinda sasa UMESHINDA, Ukishavuka 30, Its all over, usipopata ukimwi utaishia maisha ya upweke. maana wanaume tukishamjua Mwanamke kuwa ni looose ni kumtumia tu as long as analipa, akishakongoroka abaki mtu hapo, anatafutwa mwingine.

Hujachelewa Badilika sasa. Muda umefika ndiyo maana hata wewe umeshituka.
 
heheeh mkuu usipotee sana bana! si unaona hii post yako moja tu imetosha kabisa kumpatia lovebyte ushauri anaohitaji. Infakti mimi nadhani hapo alipofika ni beyond repair, lakini lawyer wake Uporoto soon atakuja kufafanua zaidi.

Tetetete Boss kubwa, majukumu mzee siunajua nimehamia jiji lingine? Nimebanwa kinoma. Nitakuvutia waya tuongee zaidi nikushauri naona pepo wa majaribu anakusumbua sitaki uwowe used. Unajua kuna gari used japan,hogkhon then na ngara TZ,ukinunua hio gari jiandae kuwa fundi mechanics bila certificate,nakusababishia watu foleni gari yako itakuwa inakwama na kuzima kwenye mataa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom