Najiachiaaaaaa

Najiachiaaaaaa

Je status yako umecheck kiafya. Kama maisha yako ndio ulikuwa unapanda mlima ndio uko kileleni heading to a sharp fall
 
Kama kweli wewe ni mwanamke wa ukweli na una miaka 30 and still don't understand yourself kwa sababu hujui lini maisha haya yataisha, utakuwa una tatizo. What have been doing in the past 10 years? Same stuff?
 
just understand yourself and change as sooon as possible or kill yourself
 
angalau hata umeomba radhi kwa kuchanganya lugha maana una broken english hata sijui hao wadhungu unaongeaje nao
 
Hi, mie ni msichana wa miaka 30, I have my very on lifestyle which me mwenyewe sijielewi. I am working n managed to rent a house and buy a car some years ago.

I live in Dar with a house girl n security guards only. I have such a free life that I can even hang out with friends for some days outside Dar. Sina boyfriend, but have hooked n dating some cute guys out there.

I have a dream of getting marriage somedays ahead but I dont see anyone among my close dudes as ideal though aint desperate. I party out a lot sana n I work a lot too.

Have dated Wazungus, Asians n more of Tzans. I enjoy sex sana n I cant wait to strip naked b4 my crazy lovers, lol. I dont understand myself kwa sababu cjui lini maisha haya yataisha na wala sielekei kuyachoka au kuyakubali .

Ki ukweli naishi kama hivi am a Christian n i also pray to God to fix wats i LACK IN MY LIFE OR CHANGE THE WAY I ARE. Sijielewi nataka au sitaki nini kwenye lifestyle of mine regardless of my age.

I CARE 4 my family n friends as well. I am very easy person to get along with n I am such a lady who jokes a lot n down to earth.

Hebu nisaidieni wana JF hivi kuna mtu mwingne yupo kama mimi au me ndo maisha yashanshinda? Na je what can i do?

Samahanini kwa kuchanganya lugha.

Unafanya maisha kama film za ISIDINGO pole sana

Unaweza kubadilika unatakiwa uwe real..hapo uko ki-film zaidi

Wanaume hawana adabu wakishakutumia wanatafuta mwingine wa kumtumia..kama huna wivu go on..

Besides think twice this isn't the way..
 
Sio katia occasions zote wanaume wanawatumia wanawake. Ukisoma stor ya huyu dada utagundua yeye na wanaume wanatumiana. Tena inawezekana yeye ndo anawatumia then anawaacha...
 
Pole mwayego, humu utapata comments za kila namna ila cha msingi mie nachopenda kushauri siku zote jitathmini wewe na maisha yako na kisha jiulize je msimamo wako wewe ni upi na principles zako ni zipi katika maisha, ukishafanya hivo utaona uko wapi na je unahitaji mtu wa kuanzisha nae familia au la... Pia kumbuka Mungu ndo mambo yote wakati ukiwa unajipanga muambie Mungu akuwezeshe kwa kila hali.
 
vizuri sana kuwa wazi kiasi hicho lakini wewe ujuwe unatakiwa kubadilika na upate mume ambaye utamuheshimu kama mila zetu waafrica na sio utafute playboy ambaye utmfnya mume
jaribu kubadilika bby
 
...hakika nakuambia,iko siku utayachokana utayaachaa japo nina mashaka hilo laweza tokea wakati kumeishapambazuka!!!
 
Awali ya yote,si kweli kwamba kawaida siku zote ni sahihi!.Tatizo ni kwamba watz wengi ni wanafiki,zaidi ya robo tatu ya population ni either christians or muslims ambao wote wana practice the so called ndoa ya kidini.Lakini ukizifuatilia karibia ndoa zote hizo zipo kama alama tu,kwa maana ya kuwa watu wanaoana kwa sababu ya Muda(ndo maana watu wamekazania suala la age ya mleta mada) na mazoea/ukawaida-Yaani uoe/uolewe tu kisa ndoa zipo kwenye jamii na wala c kwa sababu unahitaji kuoa/olewa.
Hapa ndipo huyu dada(na anawakilisha substantial pop) alipoweza kujipambunua na ile general
Hypocrisy;kwanza kwa kujiweka wazi categorically on one hand,lakini akaichallenge/akaomba hii sehemu kubwa iliyobakia ya jamii(ya u-mazoea) i-mprove wrong kwa aina ya maisha anayoendelea nayo,si kwa kumkejeli kifarisayo wakati ukweli ni kwamba ukizima tu hiyo lap top unaenda bar kisa nyumbani hakuendeki(na ndoa bado ni changa),Bali kwa kutoa arguments za ki-GREAT THINKERS zitakazo kujustify otherwise. Binafsi nimeikubali sana mentality ya huyu dada kwa sababu ndiyo uhalisia.Ndiyo maana the same dada akija na thread nyingine inayoenda sambamba na hii ,ya kuomba mawazo kuhusu kutendwa vibaya(akitumia ID nyingine),haitashangaza raia walewale wakimshauri aishi alone!
 
Mmmh its my first tym to comment here bt i think that is nt good.. kujiachia kupo bt kuna limit i think dat are
the things to b done by 20'z mabinti bt not you. coz u are 30. its tym to settle down.. You might b very independent prsn , doin all dat ur doin, bt at the tym dat u will want to settle down it will be too late.. i think dat noting down hii issue na kuuliza hapa kwa jf is the big step.. na usichukulie kwamba una CV nzuri or wats so eva.. ila hii step ikusaidie to try rebuild ya lfy.. I think your prayers ndo zinakubadilisha. keep on prayin
 
Hi, mie ni msichana wa miaka 30, I have my very on lifestyle which me mwenyewe sijielewi. I am working n managed to rent a house and buy a car some years ago.

I live in Dar with a house girl n security guards only. I have such a free life that I can even hang out with friends for some days outside Dar. Sina boyfriend, but have hooked n dating some cute guys out there.

I have a dream of getting marriage somedays ahead but I dont see anyone among my close dudes as ideal though aint desperate. I party out a lot sana n I work a lot too.

Have dated Wazungus, Asians n more of Tzans. I enjoy sex sana n I cant wait to strip naked b4 my crazy lovers, lol. I dont understand myself kwa sababu cjui lini maisha haya yataisha na wala sielekei kuyachoka au kuyakubali .

Ki ukweli naishi kama hivi am a Christian n i also pray to God to fix wats i LACK IN MY LIFE OR CHANGE THE WAY I ARE. Sijielewi nataka au sitaki nini kwenye lifestyle of mine regardless of my age.

I CARE 4 my family n friends as well. I am very easy person to get along with n I am such a lady who jokes a lot n down to earth.

Hebu nisaidieni wana JF hivi kuna mtu mwingne yupo kama mimi au me ndo maisha yashanshinda? Na je what can i do?

Samahanini kwa kuchanganya lugha.
30yrs is not minor age my dear...umri unaenda huo! soon utakimbiwa na waoaji na utabaki na wapigaji wanaotaka tu sex! na ukipata mjanja kwa vile inaonekana pesa pesa ipo, ata-act as if anataka kuoa. atakupa sex ya ukweli for the exchange of pesa zako! mwisho wa siku atakukimbia na utaishia kwenye frustruction! mpokee Bwana Yesu na badiri mfumo wa maisha yako!
 
Sio katia occasions zote wanaume wanawatumia wanawake. Ukisoma stor ya huyu dada utagundua yeye na wanaume wanatumiana. Tena inawezekana yeye ndo anawatumia then anawaacha...

Hekooo....!
Umemkazia Kwa Point Yenye Mashiko
Safi Sana Mkuu!
 
Maisha yamekushinda..Mrudie Muumba wako
 
Kweli,unahitaji mabadiliko ili ufanane na walio waishivyo wengine.

Anza kuweka mazingira ya kuelekea kwenye mabadiliko,vilevile urekebishe na kuanza kuacha mambo ambayo yatamkwaza mwenzi unayeweza kumpata.

Siku utakampompata umpendaye kwa malengo ya baadae,jaribu kuwa wazi mjadiliane na kuweka kanuni na taratibu zitakazo dumisha uhusiano wenu.MABADILIKO YANAWEZEKANA,ANZA SASA.
 
for your age of 30 kunakuwa na changes kwenye nyonga zako zinakomaa ulitakiwa uwe na kids at least 1 na mimi au yeyote .kinachoku face sasa hivi ni kuwa wakati wa kujifungua utakuwa unapata shida kidogo kutokana na suala la age ,na jinsi utakavyochelewa hili ni tatizo ,kwa wenzetu ulaya akifika hapo bila kuolewa anajuta na hutafuta chansi zakutoka iwe ni volunteer au yeyote akifika bongo aolewe kule kwao soko lake lina kuwa limeshuka due to body changes and on .jifikirie wewe uko group ipi na unaenda wapi .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom