Hi, mie ni msichana wa miaka 30, I have my very on lifestyle which me mwenyewe sijielewi. I am working n managed to rent a house and buy a car some years ago.
Hongera kwa kuwa hardworking, safi sana kwa kudunduliza na kuendesha maisha yako kama utakavyo.
I live in Dar with a house girl n security guards only. I have such a free life that I can even hang out with friends for some days outside Dar. Sina boyfriend, but have hooked n dating some cute guys out there.
Security guards???..wewe ni
MD au CEO fulani hivi...congrats...sisi huku uswahili bado tunabishana kuchangia sungu sungu, wewe unao wa kwako.. we mwenzetu unaishi kama uko peponi, dah; kumbe tar 21, usingesikitika sana.
Huna boyfriend?? Are you a hooker?? Jamani, ulikuwa una wa-hook au date??
I have a dream of getting marriage somedays ahead but I dont see anyone among my close dudes as ideal though aint desperate. I party out a lot sana n I work a lot too.
Ukweli ndo huo, mafanikio ya mwanamke mwisho wa siku yanapimwa na familia aliyoweza kuindeleza. Umefanya vyema kuwa na ndoto hizo. Sasa utaweza kuchagua wakati una-party a lot..kwa maisha yetu ya ki-Tanzania, wanaume wenye kutafuta wanawake wa kuoa wako makini kuchagua. Punguza partying, ila endelea kutengeneza marafiki
Have dated Wazungus, Asians n more of Tzans. I enjoy sex sana n I cant wait to strip naked b4 my crazy lovers, lol. I dont understand myself kwa sababu cjui lini maisha haya yataisha na wala sielekei kuyachoka au kuyakubali .
OOh my goodness!! Wazungu, wa-asia, na Watz (blacks).. ndo wanaokupa magari na kukujengea nyumba?? mhhh..Ni kweli una maisha ya peke yako; hebu funguka akili yako..Watu wanaweza kusema
tunahukumu, lakini ulichokiandika hapo inaonesha ni tabia yako typical..ndo maana moyo wako unakuhukumu, kwamba u need to stop..
Ki ukweli naishi kama hivi am a Christian n i also pray to God to fix wats i LACK IN MY LIFE OR CHANGE THE WAY I ARE. Sijielewi nataka au sitaki nini kwenye lifestyle of mine regardless of my age.
Sasa mbona huyo Mungu wa waKristo hapendi na anakataza uzinzi. Hebu ongeza juhudi za kuomba na kumaanisha, ili akupe maisha na amani ya ukweli upate kujijua ni nani na umeumbwa kwa ajili gani. Kwa sababu umesema wewe ni mkristo, huyo Mungu anasema kutakuwa na hukumu siku ya mwisho..Sasa jiulize, je umeumbwa uli uwe unafanya STRIPPING na UZINZI mbele ya wanaume wa mataifa mbalimbali???
You have a chance to confess now and start anew.
I CARE 4 my family n friends as well. I am very easy person to get along with n I am such a lady who jokes a lot n down to earth.
Hebu nisaidieni wana JF hivi kuna mtu mwingne yupo kama mimi au me ndo maisha yashanshinda? Na je what can i do?
Samahanini kwa kuchanganya lugha.
Kila mtu anajiona yuko perfect na amekamilika, mpaka pale anapoletewa 'kioo' ili ndo anajua wapi amechafuka.
Tumeumbwa tufurahie maisha, ila jinsi ya kufurahia ndo tunatofautiana. Kwa vile wewe ni Mkristo, huna budi kuyafurahia maisha katika context ya Kikristo. Mungu anakupenda sana, na hii ni kama sauti yake ndani yako kwamba ubadilike na uwe yule aliyemuumba kwa ajili ya utukufu wake..
Ubarikiwe, wakati unatafakari.