Najiachiaaaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najiachiaaaaaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by LOVEBYTE, May 25, 2011.

 1. L

  LOVEBYTE Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hi, mie ni msichana wa miaka 30, I have my very on lifestyle which me mwenyewe sijielewi. I am working n managed to rent a house and buy a car some years ago.

  I live in Dar with a house girl n security guards only. I have such a free life that I can even hang out with friends for some days outside Dar. Sina boyfriend, but have hooked n dating some cute guys out there.

  I have a dream of getting marriage somedays ahead but I dont see anyone among my close dudes as ideal though aint desperate. I party out a lot sana n I work a lot too.

  Have dated Wazungus, Asians n more of Tzans. I enjoy sex sana n I cant wait to strip naked b4 my crazy lovers, lol. I dont understand myself kwa sababu cjui lini maisha haya yataisha na wala sielekei kuyachoka au kuyakubali .

  Ki ukweli naishi kama hivi am a Christian n i also pray to God to fix wats i LACK IN MY LIFE OR CHANGE THE WAY I ARE. Sijielewi nataka au sitaki nini kwenye lifestyle of mine regardless of my age.

  I CARE 4 my family n friends as well. I am very easy person to get along with n I am such a lady who jokes a lot n down to earth.

  Hebu nisaidieni wana JF hivi kuna mtu mwingne yupo kama mimi au me ndo maisha yashanshinda? Na je what can i do?

  Samahanini kwa kuchanganya lugha.
   
 2. TATE

  TATE Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uko fine, siku ukichoka maisha hayo utabadilika mwenyewe bila kujijua, lakini note kuwa hatua ya kujiuliza maswali na kutaka mawazo ya wengine ni ishara kuwa mabadiliko yameanza.
   
 3. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  LOVEBYTE .......
  I like your CV
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nothing wrong with that!!We jiachie tu siku ukiwa tayari kusettle na wakusettle nae akitokea wala hutohitaji kujiuliza mara mbili...hongera kwa kua independent!!
   
 5. Yousuph .M.

  Yousuph .M. Senior Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oh, ngoja werevu wanakuja na maufumbuzi.
   
 6. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Lovebyte ni pm ntakupa suluhisho why you arnt discover that dream of ur life im specialist.just do that honey for the solution!
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mhh jaman....ndo maisha ayo..
  enjoy n enjoyyyyyyyyy life z to shottttt..............
   
 8. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kwa dunia hii, be much carefull maana mwisho wake huwa siyo mzuri. If u think maisha unayoishi siyo mazuri (hayakupi amani) pray to God. Before kama hujamkabidhi Bwana Yesu maisha huwa tunajiuliza 'nitaishi vipi bila sex?', ukiingia hutakuwa na hamu tena utaonja aina nyingine ya maisha.
  Ila be careful of AIDS my dear, maana huwezi kuwa mweledi siku zote.
   
 9. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Aaagh! pole kwa ugonjwa wa kupenda sana ngono (inavyoonekana), utabadilika tu muda ukifika, ila kwa wakati huu jitahidi uwe unawakumbusha jamaa wanaokupiga mpingo wawe wanavaa kondomu manake bongo si salama tena, inawekana kabla hujabadilika mdudu kashachumpa halafu hata mabadiliko hayatakuwa na umuhimu tena!
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Duh!
  Aisee!
   
 11. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 940
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Fanya haraka uwahi kwenye kituo cha maombi ili uombewa,ukiisha ombewa na tamaa za ngono zitakuisha na pia utampata mume bora ambaye Bwana amekuchagulia.
   
 12. U

  Upanga Senior Member

  #12
  May 25, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Time is the answear!time alone will tell,many of us were having the same style b4,however the stage will come and get isolated.
   
 13. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unakula raha sana, but as long as u prayed God is so faithfull and he will change ur life style, ila jitaidi pia kubadili maisha ikiwa bado ni mapema maana siku ukizinduka usingizini itakuwa too late tho wanasema its never too late.
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mimi naona unafanya vizuri kujiachia, tena jiachie zaidi
  ukichoka nenda kaolewe hutataman tena miachio
   
 15. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kama huolewi basi oa siku hizi si mna haki sawa na sisi na mkiwezeshwa mnaweza?tafuta kijana jobless umuwowe.
   
 16. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  this is well said, ni vema ukajiachia kabisa kusudi ukiingia kwenye ndoa unatulia na hubby wako. Si vema ukaingia kwenye ndoa halafu kumbe bado unataka kujiachia nje na mahawala.. this is good point for both men and women out there!!!.
  Lovebyte thanks for being open
   
 17. L

  LOVEBYTE Member

  #17
  May 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thank wote kwa opinions zenu ila its not that napenda ngono bali nafurahi n I always practuce safe sex n am not shy wen it comes to (me+u+bed) lol lol, the thing is hivi kuna watu wanaishi kama mimi na wanaona wako sawa au? kama nlivosema sjielewei kama natafta ndoa or im livin my life first b4 becomin someone' wife? i just wish for raisin a family someday but kama mdau wa kwanza alivosema maybe ndo changes zenyewe.
   
 18. L

  LOVEBYTE Member

  #18
  May 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thanx daughter.. me najiona tofauti we umeipenda duh, haya mumie
   
 19. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Pole maana unasema hata wewe mwenyewe hujielewi........
   
 20. L

  LOVEBYTE Member

  #20
  May 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hey safety last, i wud love kama ungenijibu hapa it may help others kujitambua mayb be?? ur a specialist of what?
   
Loading...