Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
Naona wanamasilahi yaosijui n4 kwanini spika anawatetea covid 19!
Naona wanamasilahi yaosijui n4 kwanini spika anawatetea covid 19!
Sidhani....Nahisi Kuna namna alitaka kuchokonoa mada na amefanikiwa kwa kiasi fulani.
Alichofanya Kishoa ni kuionyesha Dunia kuwa sisi kuwemo humu ndani sio kwa mapenzi yetu ila Kuna nguvu iliyonyuma yetu.
Chachandu Covid-19 ?VP kuhusu Mdee na genge lake.
Kumbe kishoa ni very honesty Covid-19
Chachandu Covid-19 ?
Ni covid 19Hizi lugha hazijengi. Tutumie lugha za 'kibunge'/staha.
Hayo yote yatawezekana ila siyo kuwapeleka mahakamaniUkiwa muongo unapaswa kuwa na kumbukumbu sana (Liars must have a good memory). Bibi Tulia anadaia hajapata barua kutoka Chadema inayoonesha kuwa wanawake 19 walioko bungeni, walifukuzwa uanachama. Anasema wangekua wamefukuzwa wasingepaswa kuwepo bungeni maana ni kinyume cha Katiba.
Sasa tumemsaidia kumkumbusha kwamba barua ilitumwa na ilipokelewa ofisi ya Spika tarehe 1/12/2020 tena kwa dispach. Pia nakala ilitumwa NEC na kupokelewa kwa diapatch siku hiyohiyo 1/12/2020 saa saa 7:12 mchana.
Kwa kuwa Tulia ametamla kwamba ikiwa akina Kishoa wamefukuzwa uanachama hawapaswi kuwepo bungeni, basi apitie mafaili hapo ofisini ataona barua ya Chadema iliyotumwa 1/12/2020 halafu afanye maamuzi kwa mujibu wa Katiba.
Baada ya hapo jopo la wanasheria wa Chadema liwaburuze mahakamani Bwana Ndugai na Bibi Tulia kwa kutumia rasilimali za umma kulipa mishahara, posho na marupurupu kwa watu wasio wabunge kwa miezi 6. Huu ni uhujumu uchumi.!
Comment
Share
Haoni mwenzake Jiwe anavyo semwaHuyu jamaa kuna siku watanzania waanzisha kampeni ya kumtangaza mkanyagaji wa katiba number moja tangu nchi ipate uhuru - yeye aendelee tu na utemi wake usio na maana.
Staki kuamini Kama bunge halina taarifa za kuvuliwa uanachama kina Jesca na wenzake, ila wakumbuke tu kuwa hi ni awamu nyingine kabisa. Kuna kila dalili wanaweza kutimuliwa mjengoni
2023 spika atakuwa mwanamama usihoji kwanini we subiriKuna uwezekano tanzania tukampata spika mwañamke kabla ya mwaka 2025.
Kama waliwahitaji wapinzani bungeni wasingefanya waliyoyafanya mwishowe sasa wamekuwa ni vituko kwakweli.
Jesca Kishoa anajaribu kutupa picha ya ndani kabisa ya Covid 19 na kupeleka ujumbe kwa Bunge, Viongozi wa Chadema na wanachama wao kuwa ingawa wapo Bungeni lakini wao sio halali kisheria na wote hao wafanye maamuzi ya hatima yao vile watakavyoona inafaa, wale wa Ndugai wabaki nae na wale wa Mbowe watoke nje kitu ambacho ni kweli kuwa Covid 19 ina watu ambao mpaka leo ni waaminifu 100% kwa chama chao CDM, mipango hii ya kuingiza Covid bungeni ilifanywa na watu wachache sana wakiongozwa na Mzee ambaye kwa kutafuta uungwaji mkono aliweza kuinjinia kuorodhesha na mahabusu ambao walikuwa hawajui chochote zaidi ya kuelezwa kuwa kuna suprise tunakupatia,Kama waliwahitaji wapinzani bungeni wasingefanya waliyoyafanya mwishowe sasa wamekuwa ni vituko kwakweli.
Aaaaah mshana. Yaan umeamua kukazia kabisa!
Hakuna kuruhusu Mikutano ya Vyama kama hakuna Uchaguzi husika, hapa ni kusubiri 2024 serikali za Mitaa na 2025 Uchaguzi MkuuTusubirie mama akisharuhusu mikutano ya kisiasa,twone watavaa jezi za chama kipi wasimamapo majukwaani.