curie
JF-Expert Member
- Oct 25, 2020
- 664
- 1,489
Hizo ndo zilikuwa Mega projects za mwendazake Tunazienzi
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Amina mkuu.Nafurahishwa Sana na mada zako ndugu John mbatizaji, za wakati huu, hakika unasema kweli tupu kabisaaaa.........KAZI IENDELEEEE
Afadhari useme wewe. Kuna mambo mengine yanakua wazi kiasi hayahitaji uelevu wa kupindukia kuweza kuyajua ukweli wake. Tuvute subira, muda ni muamuzi mzuri. Hadi 2025 ni kitambo kirefu, tutakua tumejua ukweli.Nilichogundua CCM kupitia Spika inatumia nguvu kubwa kuwatetea akina Halima Mdee na wenzake huku wao wenyewe wakiwa wamerelax.
Tena sijasikia Wanawake kutoka kundi lolote nchini liwe la kisiasa au kidini likiwatetea akina Halima Mdee bali wanaume wa CCM ndio wanapiga vita mfumo dume uliopo Chadema.
Hata Cecil Mwambe mwaka jana alishangaa kwanini yuko bungeni wakati ameshajivua uanachama wa Chadema.
Ngoja nimsikilize Rais Samia akilihutubia bunge leo.
Kazi Iendelee!
Hakika hii ndiyo maana ya huu msemo "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" siyo vile ilivyotumika na "shujaa wa Afrika"Amina mkuu.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Kama sijakuelewa hivi. Unaweza kulifafanua kwa faida yangu niliyemzito wa kuelewa na wengine wa aina yangu?tume ya taifa ya uchaguzi.
matokeo ya urais na wabunge na madiwani YALIKUWA SAHIHI.
ila uchaguzi wa wabunge wa kuteuliwa wa chadema SIO SAHIHI.
UNAFIKI NI UGONJWA MBAYA SANA
Umemaliza mkuu. Huu ndiyo ukweli wenyewe. Hili litamuachia historia ya aina yake Job Ndugai. Kwa hili asitegemee support ya wana CCM wenzake, liko wazi mno. Achutame tu, taulo limeshadondoka.Spika kwa sasa ile hali ya KUHISI HATIA imeanza kumtesa moyoni, anaona watu wanaojua SIASA ZA VYAMA kama Nape wanaenda mwelekeo wa kupigania hadhi ya Bunge kusimamia sheria.
Utetezi wa Spika ni immature kabisa, kama kulikuwa na mapungufu katika uwasilishaji wa nyaraka za kuwafukuza wabunge, ni jukumu la wanasheria wa ofisi ya Spika kung'amua mapungufu husika na kuwataarifu CHADEMA kufanyia kazi ili mchakato uendelee.
Tangu December, unakuja kuibuka leo Bungeni kusema barua ni KIPEPERUSHI haina viambatanisho! Hii ni GUILTNESS inamtesa, kelele za kutetea hadhi ya Bunge zimeanza kumsumbua na kumsuta.
Jibu mujarabu!Kwani wao waliingia huko bungeni kwa staha?
Kama sijakuelewa hivi. Unaweza kulifafanua kwa faida yangu niliyemzito wa kuelewa na wengine wa aina yangu?
Mshindi wa kiti cha Urais akishatangazwa matokeo hayapingwi popote, kuhusu wabunge na madiwani unaweza kupinga Mahakamani. Swali ni je kwa kipindi cha SHUJAA, kwa hali ya mchakato wote wa uchaguzi, ni Mahakama ipi ingetengua Ubunge wa mwana CCM?Udanganyifu mkubwa Sana ulitokea tarehe 28 mwezi wa 10.mpaka mabegi ya Kura FEKI yakakamatwa.lakini sioni chadema wakichukua hatua zozote na hata huyu mleta mada alikaa kimya na pia nape alikaa kimya.
ILA sijajua Kwanini hawa wabunge 19 wanawauma Sana chadema na mleta mada na nape kukaa bungeni kuliko wabunge wao waliodhulumiwa Kura zao tarehe 28 mwezi wa 10.
Mshindi wa kiti cha Urais akishatangazwa matokeo hayapingwi popote, kuhusu wabunge na madiwani unaweza kupinga Mahakamani. Swali ni je kwa kipindi cha SHUJAA, kwa hali ya mchakato wote wa uchaguzi, ni Mahakama ipi ingetengua Ubunge wa mwana CCM?
Hili vyama vya upinzani viliona huwezi kulipatia haki Mahakamani bali ni kupigania mifumo imara ambayo msingi wake ni KATIBA imara. Ndiyo maana wametoa msimamo wa kutoshiriki chaguzi ikiwa hakuna KATIBA inatoa uimara wa TUME HURU YA UCHAGUZI kwanza.
Hao wabunge 19 ni mali ya chama, msimamo wa chama ni kutotambua uchaguzi wa 28/10 kutokana na makovu yake hivyo walipaswa kuwa sehemu ya msimamo huo. Wamekiuka msimamo wa chama, hivyo chama kinayo haki ya kuwawajibisha kikatiba.

Katika siasa au hata elimu ya darasani kuni PROBABILITY & ANTICIPATION. Kwa utawala wa SHUJAA hakuna Mahakama ingetengua Ubunge wa mwana CCM hata mmoja, fanya marejeo ya mchakato mzima wa uchaguzi utaona how POWERFUL AND SADIST Shujaa was!Hapo utakuwa unaisemea mahakama.
NANI KAPELEKA KESI MAHAKAMANI YA KUPINGA MATOKEO YA UBUNGE AU UDIWANI?.
baada ya MABEGI ya Kura FEKI kukamatwa ilichukuliwa hatua gani?
Katika siasa au hata elimu ya darasani kuni PROBABILITY & ANTICIPATION. Kwa utawala wa SHUJAA hakuna Mahakama ingetengua Ubunge wa mwana CCM hata mmoja, fanya marejeo ya mchakato mzima wa uchaguzi utaona how POWERFUL AND SADIST Shujaa was!
Mahakama hizo hizo si ndiyo zilinyima watia nia dhamana na kuswekwa mahabahusu wakina Nusrat Henje! Kisha usiku zikawatoa na kuwa wabunge wa COVID19?
Ndugu toa blanket, amka.