Kwanini Spika hataki kuheshimu Katiba juu ya uwepo wa wabunge wasio na chama licha ya mahakama kuthibitisha?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,027
Hivi karibuni Ile hukumu iliyokuwa inasubiriwa na watanzania pia BUNGE ya HALIMA na Wenzake 18 ilitolewa na moja ya Maamuzi ya MAHAKAMA ni Kuthibitisha kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA ilifuata Taratibu zote pasipo SHAKA za Kuwafukuza Uanachama Halima na Wenzake 18.

Mbunge Kutokuwa na Chama kwa mujibu wa KATIBA anakuwa amepoteza Sifa ya kuwa Mbunge. Kukata Rufaa ni hatua nyingine lakini hufanywa wakati tayari amekwishavuliwa Ubunge wake.

Swali la Msingi
Kwanini SPIKA wa BUNGE hataki kuiheshimu Katiba aliyoapa kuilinda na kuitekeleza juu ya Wabunge wasio na Chama kuendelea kuwa Wabunge licha ya Hukumu ya Mahakama kuu iliyothibitisha kuwa SIO WANANCHAMA wa CHADEMA?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Mbona hata Chadema hakitaki kuheshimu Misingi ya Utawala bora. Yaani haohao wanaokuhukumu na Ukikata rufaa tena eti walewale waliokuhukumu ndiyo wapitie hukumu ili wakupatende haki , hii haiwezekani. Huwezi kupitia rufaa ya hukumu uliyoifanya Mwenyewe. Kabla ya kuhangaika na kesi kwanza waangalie utaratibu wa ukataji rufaaa
 
Hivi karibuni Ile HUKUMU iliyokuwa inasubiriwa na watanzania pia BUNGE ya HALIMA na Wenzake 18 ilitolewa na moja ya Maamuzi ya MAHAKAMA ni Kuthibitisha kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA ilifuata Taratibu zote pasipo SHAKA za Kuwafukuza Uanachama Halima na Wenzake 18.Mbunge Kutokuwa na Chama kwa mujibu wa KATIBA anakuwa amepoteza Sifa ya kuwa Mbunge.Kukata Rufaa ni hatua nyingine lakini hufanywa wakati tayari amekwishavuliwa Ubunge wake.

Haki ipo kwa Allah. Swali na ufunge ukastarehe akhera. Duniani mwenye nguvu ndie mwenye mamlaka
 
Bado kuna rufaa, nchi hii haiendeshwi kihuni, subiri mahakama imalize mchakato.

Nyie si ndio lialia wa katiba na utawala wa sheria? Iacheni sheria itamalaki
 
Wala kuchukia wengine kusiwafanye kuacha uadilifu. Kuweni Waadilifu; hivyo ndivyo kuwa karibu mno na uchaMungu...." (Kurani 5:8)
 
Katiba nika kajitabu tu.Hivyo hakuna mwenye habari na kitabu chenye thamani Sawa kama hadithi za Juma na Uledi.
 
Mchakato wa kisheria haujaisha.
Pindi utakapoisha uongozi wa Chadema utamjurisha spika kwa barua, atawafuta.
 
Hivi karibuni Ile HUKUMU iliyokuwa inasubiriwa na watanzania pia BUNGE ya HALIMA na Wenzake 18 ilitolewa na moja ya Maamuzi ya MAHAKAMA ni Kuthibitisha kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA ilifuata Taratibu zote pasipo SHAKA za Kuwafukuza Uanachama Halima na Wenzake 18.Mbunge Kutokuwa na Chama kwa mujibu wa KATIBA anakuwa amepoteza Sifa ya kuwa Mbunge.Kukata Rufaa ni hatua nyingine lakini hufanywa wakati tayari amekwishavuliwa Ubunge wake.
Swali la Msingi
Kwanini SPIKA wa BUNGE hataki kuiheshimu Katiba aliyoapa kuilinda na kuitekeleza juu ya Wabunge wasio na Chama kuendelea kuwa Wabunge licha ya Hukumu ya Mahakama kuu iliyothibitisha kuwa SIO WANANCHAMA wa CHADEMA?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Usiumizekichwaamkuu wabungewakohaompaka2025
 
Mbona hata Chadema hakitaki kuheshimu Misingi ya Utawala bora. Yaani haohao wanaokuhukumu na Ukikata rufaa tena eti walewale waliokuhukumu ndiyo wapitie hukumu ili wakupatende haki , hii haiwezekani. Huwezi kupitia rufaa ya hukumu uliyoifanya Mwenyewe. Kabla ya kuhangaika na kesi kwanza waangalie utaratibu wa ukataji rufaaa
Misingi ya Utawala bora juu ya Halima na wenzake ccm kupitia BUNGE la ccm ndio hawataki kuifuata.Kwa kuanzia Mchakato mzima wa Upatikanaji Wabunge hao CCM na TUME ya Uchaguzi vinajua vilivyofanya.Pili Katiba ipo wazi Mbunge akifukuzwa Uanachama Ubunge wake Unakoma baada ya kukoma Kama hajaridhika anakata Rufaa akiwa tayari sio mbunge
Tumeshuhudia kwa Wabunge wa Cuf na kwa Mbunge Sophia Simba wa Ccm Walipovuliwa Ubunge ndio Wakakata Rufaa.Halima na Wenzake pamoja na kufukuzwa uanachama bado SPIKA hakutaka kuwavua Ubunge Kama alivyofanya kwa Wabunge wa Cuf ba ccm badala yake wakakata Rufaa huku wakiwa ndani ya Bunge ikiwa ni kinyume na Katiba.
Sasa nani haeshimu Utawala bora kati ya BUNGE
CCM TUME na Chadema?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hivi karibuni Ile hukumu iliyokuwa inasubiriwa na watanzania pia BUNGE ya HALIMA na Wenzake 18 ilitolewa na moja ya Maamuzi ya MAHAKAMA ni Kuthibitisha kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA ilifuata Taratibu zote pasipo SHAKA za Kuwafukuza Uanachama Halima na Wenzake 18.

Mbunge Kutokuwa na Chama kwa mujibu wa KATIBA anakuwa amepoteza Sifa ya kuwa Mbunge. Kukata Rufaa ni hatua nyingine lakini hufanywa wakati tayari amekwishavuliwa Ubunge wake.

Swali la Msingi
Kwanini SPIKA wa BUNGE hataki kuiheshimu Katiba aliyoapa kuilinda na kuitekeleza juu ya Wabunge wasio na Chama kuendelea kuwa Wabunge licha ya Hukumu ya Mahakama kuu iliyothibitisha kuwa SIO WANANCHAMA wa CHADEMA?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Spika wa Bunge ana kinga ya kutokushtakiwa hata pale ikibainika kafanya maamuzi ya hovyo akiwa madarakani.
 
Hivi karibuni Ile hukumu iliyokuwa inasubiriwa na watanzania pia BUNGE ya HALIMA na Wenzake 18 ilitolewa na moja ya Maamuzi ya MAHAKAMA ni Kuthibitisha kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA ilifuata Taratibu zote pasipo SHAKA za Kuwafukuza Uanachama Halima na Wenzake 18.

Mbunge Kutokuwa na Chama kwa mujibu wa KATIBA anakuwa amepoteza Sifa ya kuwa Mbunge. Kukata Rufaa ni hatua nyingine lakini hufanywa wakati tayari amekwishavuliwa Ubunge wake.

Swali la Msingi
Kwanini SPIKA wa BUNGE hataki kuiheshimu Katiba aliyoapa kuilinda na kuitekeleza juu ya Wabunge wasio na Chama kuendelea kuwa Wabunge licha ya Hukumu ya Mahakama kuu iliyothibitisha kuwa SIO WANANCHAMA wa CHADEMA?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Ni kwa sababu amejaa kiburi cha mtanifanta nini
 
Wanatakiwa wafukuzwe Bungeni haraka sana kama ni rufaa wakate wakiwa nje ya Bunge ndiyo sheria inavyoelekeza.
 
Misingi ya Utawala bora juu ya Halima na wenzake ccm kupitia BUNGE la ccm ndio hawataki kuifuata.Kwa kuanzia Mchakato mzima wa Upatikanaji Wabunge hao CCM na TUME ya Uchaguzi vinajua vilivyofanya.Pili Katiba ipo wazi Mbunge akifukuzwa Uanachama Ubunge wake Unakoma baada ya kukoma Kama hajaridhika anakata Rufaa akiwa tayari sio mbunge
Tumeshuhudia kwa Wabunge wa Cuf na kwa Mbunge Sophia Simba wa Ccm Walipovuliwa Ubunge ndio Wakakata Rufaa.Halima na Wenzake pamoja na kufukuzwa uanachama bado SPIKA hakutaka kuwavua Ubunge Kama alivyofanya kwa Wabunge wa Cuf ba ccm badala yake wakakata Rufaa huku wakiwa ndani ya Bunge ikiwa ni kinyume na Katiba.
Sasa nani haeshimu Utawala bora kati ya BUNGE
CCM TUME na Chadema?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Anayokinga ya kutoshitakiwa hivyo ameamua kulinda Iegacy iliyo waleta hapo kijiweni (enzi za Sitta paliitwa bungeni).
 
Binafsi siamini kama TANZANIA tuna BUNGE HALALI kama KATIBA iliyopo inavyotamka.
KATIBA ya Tanzania inatamka Wazi kuwa Mbunge lazima Atokane na Chama cha siasa ambacho ndio kitakuwa kimemdhamini.BUNGE linaloendelea kwa Sasa ni BUNGE linanaloundwa na WABUNGE wa CCM kutokana na UCHAGUZI wa HOVYO wa 2020 chini ya RAIS MAGUFULI kupata kutokea toka NCHI imepata UHURU
Kutokana na WABUNGE wa UPINZANI kukatwa Majina yao na wengine kuibiwa KURA zao na Wasimamizi wa CHAGUZI ni Mbunge mmoja tu wa Upinzani aliyepo BUNGENI na kusababisha BUNGE kutokuwa na KAMBI RASMI ya UPINZANI na Kiongozi wa KAMBI ya Upinzani kutokuwepo wala MAWAZIRI VIVULI wala BAJETI ya KAMBI ya UPINZANI vyote hivyo vinaondoa UHALALI wa BUNGE.Baya zaidi CCM baada ya kuona hivyo ilifanya Uchafu wa KUWATEUA HALIMA MDEE na Wenzake 18 kuingia BUNGENI na kutokana na kutokushiriki kuwateua CHADEMA iliwafukuza UANACHAMA hivyo WABUNGE 19 waliopo BUNGENI hawana UDHAMINI wa CHAMA kitu ambacho ni KINYUME na KATIBA
na kulifanya BUNGE kutokuwa HALALI kwani lina WABUNGE wasio na SIFA KIKATIBA.
 
Ni wabunge halali, acheni wivu, kisa tu mbowe hakupitisha majina yake ya rushwa tena alikula rushwa ya kuhongwa akailamba hahaha yaani eti mpinzani mla rushwa
 
Back
Top Bottom