naima79
Senior Member
- Feb 27, 2009
- 188
- 115
Siivrahisi mkuu mimi nakasirika na tapika mwaka 2006 niliwahi kukasirika nikazimia nikajikutabhispital na drip mbili
Mkuu utakuwa mchochezi wewe, hahahaha
Siivrahisi mkuu mimi nakasirika na tapika mwaka 2006 niliwahi kukasirika nikazimia nikajikutabhispital na drip mbili
Hahaha basi ngoja tu nitabasamu sasa, nisije hamishia msonyo kwa asiyehusikaNimekusaidia kutoa boonge la msonyo.
Sala ni kiungo kizuri cha kutuliza emotions za maudhi, failure/loose etc.toa basi kaushauri kidogo kabla sijakutafuta naomba
asante mkuuSala ni kiungo kizuri cha kutuliza emotions za maudhi, failure/loose etc.
usipende ligi na ntu. jifunze kupotezea vitu/watu wanaoudhi.
We hasira zikianza hakikisha una mpiga pumbu pembeni zamia ata chooni km haupo home utarudi uko fresh kbisa na tabasamu.Weekend nakuwa najenga taifa bado
asante mkuu kwa ushauri ila lohWe hasira zikianza hakikisha una mpiga pumbu pembeni zamia ata chooni km haupo home utarudi uko fresh kbisa na tabasamu.
Asante dearNi spirit of "Anger"
Nimekwambia ukachukulia masihara ila ingia google utafute uhusiano wa sex na hasira ni tiba moja matata..! Inatoa stress ambazo ndiyo chanzo kikuu cha hasira.asante mkuu kwa ushauri ila loh
jamani nina mwanaume sema labda kuipa nafasi ya kutosha sex sina uhakikaNimekwambia ukachukulia masihara ila ingia google utafute uhusiano wa sex na hasira ni tiba moja matata..! Inatoa stress ambazo ndiyo chanzo kikuu cha hasira.
Naomba niotee, utakuwa hauna mpenzi au mwanaume wakwako unaye mmiliki wewe km wewe km unaye basi issue sex haujaipa nafasi yake, au huyo mtiaji ni joka la kidisa linang'ata ila hslina sumu.
Fanya hivyo utaniletea taarifa.jamani nina mwanaume sema labda kuipa nafasi ya kutosha sex sina uhakika

sawa kakaFanya hivyo utaniletea taarifa.![]()
![]()
We boy.a una generaliza mambo.Yaaani mimi hivi visa vinanikumbusha rafiki yangu mtei alioa Machame kipigo alichokuwa akikipata mkikutana asubuhi yaani utazan alikuwa kwenye ajali ya treni
WANAWAKE WA KICHAGA TULANE TU WAPITE IVI WANAVITABIA VYA KIPEPO
Naam hiyo tunaita kumtoa DUKUDUKU...unamnyong'onyeza mpaka anakutajia jina lake la utotoniUnatakiwa upewe penzi zito toka kwangu zitaisha
We boy.a una generaliza mambo.
Afadhalia ukae kimya
oyoeshefekenyaedaWe boy.a una generaliza mambo.
Afadhalia ukae kimya
mkuu ulivyompole humu mtu hawezi dhani unahasira hivyo? kuna hii tovuti ya mashahidi wa Yehova inaitwa jw.org/sw. inaweza kukusaidia ushauri. nenda sehemu ya magazeti na download gazet la amkeni machi 2012. linasema,sawa kaka
Unatafuta dyudyu kimabavu siyo?We gay uko too silly
Hata yeye hajui inatokeajeDuh!
Hasira hadi za kupiga mtu??
Mi pia nina hasira ila sio kwa level hiyo
UshauriMimi nikiwa na hasira huwa zinaishia kwa kulia weee adi napitiwa na usingizi
Nikiamka hasira hakuna tena
Ama kama una mchumba ako mpigie, kua karibu nae akupet pet hasira zinapungua
Jaribu hayo