naima79
Senior Member
- Feb 27, 2009
- 188
- 115
Hio hali ni hali ambayo unaweza kuibadilisha, hasira unaweza kuibadilisha wewe mwenyewe tena kwa kupuuzia tu, kuwa aah kwani kitu gani, najikumbuka mimi mwenyewe nilikuwa nina hasira sana, nyumbani balaa ni kila wakati sitaki kuonewa na rafiki wala kaka wala dada angu, lakini huwezi amini nimejicontrol mpk sasahivi nimekuwa raia wa kawaida kabisa, ata unifanye nini sina time kabisa, tabia hio ukiwa nayo inaendana na kukosa usingizi unakuwa mtu wa mawazo usiku kucha, nimeacha vyote ata unifanye nini sshivi nakoroma tuu yaani nasahau kabisa kama ulinifanya kitu, kwaiyo jicontrol tu, maana hio hali ni hatari kwa afya yako na kwa sifa ya mtoto wa kike
Mimi nikiwa na hasira huwa zinaishia kwa kulia weee adi napitiwa na usingizi