Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

Mimi nakwambia kweli nikipitisha wiki moja sijachapa mzigo ilihali nahisi hamu kwa siku zote hizo, huwa nakuwa na hasira nisizoziimili, nikishachapa mzigo kila kitu kinakaa sawa. Vipi unapata makamuzi yakutosha?
ndiyo

Tatizo sio hasira ni ile posa mliochukua na wajomba zako alafu miss chagga sijakuona mpaka leo....

Pombe sio dawa ya hasira wacha niangalie kwenye vitabu vya enzi nijue nitakusaidia vipi...

Habari zenu wakuu,

Nina tatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa. Sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. Naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana.

Kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio la kutosha..

Wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.

Nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena (japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe).

Naombeni msaada nifanye nini napokasirika?

NB: Nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... Mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa!

Asanteni..

MADA HII IKIWA NA MAONI YA WANAJF IMESOMWA PIA KWENYE KIPINDI CHA JAMII LEO. TAZAMA VIDEO;

Tupo wengi hao kama wewe. Remember you cant change the past but you can ruin your present by worrying about the future.

Nakuita mdogo wangu sababu mimi naaproach sixty najua wewe bado. Nafika mahali nataka kupiga hata watu risasi kwa hasira ila najiuliza will it make me better?? Will make me happy? Naomba uangalie ulipotoka na vikonjo ulivyopitia na hapo ulipo. Je unaweza simama mwenyewe au bado kuna msaada mkubwa unahitaji na unakukwaza? kama hakuna songa mbele as you are. Never look back . Ndoto ndo mbaya zitakujia kwa yale uliyofail halafu unaamka na jasho unajuta but can you change the past? Mimi sitaki kujisema ila nimekuwa na ndoto hizo ila mme wangu kipenzi huwa ananiuliza where are you now? I was going to be a doctoro but missed one point ambayo imenicost maisha yangu mpaka leo over 40 years lakini nilimpata mwandani nikapata kazi yenye mshahara zaidi ya udaktari au hata profession nyingine lakini sababu nilikua nataka kuwa fulani inani haunt mpaka leo. Nina wajukuu lakini naota kama mtoto naenda shule nashindwa mitihani. Pombe!!!! Ukiishi ughaibuni wakati huna rafiki rafiki yako mkubwa ni pombe hivyo wewe kama upo home una nafasi ya kutoka kufanya mambo yako. Watu wanafikiri kunywa pombe ni kupenda lakini hawajapata mfadhahiko wa moyo kuona unavyoogopa. Kun mengine tukiyasema hapa kuna watu watajua nani katuma hii ila tuna mitihani nyingi ya nyumbani halafu unaota hayo mambo ya zamani halafu watu wanakuletea mambo ya politics wakati hujawahi nunua hata kadi ya chama chochote shida tupu. Jamani siyo miss Chagga tu tupo wengi mtuache tumechoka na stress.
cc. mshana jr.

Msikilize mwanasaikolojia mkwabi sabasaba kwenye kipindi chake kinachorushwa tbc taifa kuanzia saa 4 usiku mpaka SAA 6 usiku kila siku ya jumatatu na jumatano atakupa majibu mazuri sana

Tupo wengi hao kama wewe. Remember you cant change the past but you can ruin your present by worrying about the future.

Nakuita mdogo wangu sababu mimi naaproach sixty najua wewe bado. Nafika mahali nataka kupiga hata watu risasi kwa hasira ila najiuliza will it make me better?? Will make me happy? Naomba uangalie ulipotoka na vikonjo ulivyopitia na hapo ulipo. Je unaweza simama mwenyewe au bado kuna msaada mkubwa unahitaji na unakukwaza? kama hakuna songa mbele as you are. Never look back . Ndoto ndo mbaya zitakujia kwa yale uliyofail halafu unaamka na jasho unajuta but can you change the past? Mimi sitaki kujisema ila nimekuwa na ndoto hizo ila mme wangu kipenzi huwa ananiuliza where are you now? I was going to be a doctoro but missed one point ambayo imenicost maisha yangu mpaka leo over 40 years lakini nilimpata mwandani nikapata kazi yenye mshahara zaidi ya udaktari au hata profession nyingine lakini sababu nilikua nataka kuwa fulani inani haunt mpaka leo. Nina wajukuu lakini naota kama mtoto naenda shule nashindwa mitihani. Pombe!!!! Ukiishi ughaibuni wakati huna rafiki rafiki yako mkubwa ni pombe hivyo wewe kama upo home una nafasi ya kutoka kufanya mambo yako. Watu wanafikiri kunywa pombe ni kupenda lakini hawajapata mfadhahiko wa moyo kuona unavyoogopa. Kun mengine tukiyasema hapa kuna watu watajua nani katuma hii ila tuna mitihani nyingi ya nyumbani halafu unaota hayo mambo ya zamani halafu watu wanakuletea mambo ya politics wakati hujawahi nunua hata kadi ya chama chochote shida tupu. Jamani siyo miss Chagga tu tupo wengi mtuache tumechoka na stress.
cc. mshana jr.
asante my dada hawaelewi

Habari zenu wakuu,

Nina tatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa. Sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. Naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana.

Kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio la kutosha..

Wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.

Nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena (japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe).

Naombeni msaada nifanye nini napokasirika?

NB: Nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... Mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa!

Asanteni..

MADA HII IKIWA NA MAONI YA WANAJF IMESOMWA PIA KWENYE KIPINDI CHA JAMII LEO. TAZAMA VIDEO;

Mkabidhi Yesu maisha yako mimi nilikuwa na hasira hadi natetemeka nakuongea siwezi ila Yesu kaniponya.

Tatizolako unatakiwa kupata ushauri private na mtumwenye uwezo wa kukueleza mambo kadhaa ya kufanya,na sio sikumojatuu it's more than one day.
Taratibu utarudi katika hali yakawaida na utasahau.

Chakwanza jipe muda wa kufanya mazoezi kila upatapo nafasi asubuhi ama jioni.

Ila, kama kuna mtu anakupa stress na umemuweka moyoni, mhmmmm be careful girl, atakutiaugonjwa wa moyo.

Kaanae mbali, alafu jaribu kuwazatu kwamba kama hakupendi basi ni adui yako sababu anaekupenda hatakuumiza kwa namnayoyote.

Pole sana.

Habari zenu wakuu,

Nina tatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa. Sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. Naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana.

Kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio la kutosha..

Wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.

Nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena (japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe).

Naombeni msaada nifanye nini napokasirika?

NB: Nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... Mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa!

Asanteni..

MADA HII IKIWA NA MAONI YA WANAJF IMESOMWA PIA KWENYE KIPINDI CHA JAMII LEO. TAZAMA VIDEO;

Ukikarishwa zaidi we unalia kwa sauti kubwa tyu mhhh pole

Fanya hivi ukiwa na hasira usinywe pombe zaidi kama upo na adui yako acha usijibishane nae wala kupigana nae zaidi inuka taratibu ondoka eneo hilo nenda ata kapande gari uzunguke tuu mji au uende kituo kingine vaa head phone sikiliza wimbo au video unayoipenda ukihisi moyo kutulia rudi nyumbani uhakikishe usikutane na adui yako tena fanya mambo yako lala kwaajili ya kesho mara zote ukipandishwa hasira badili mazingira haraka sana hilo litajenga saikolojia yako upya nadhani umenielewa sasa ukizoea hivo itakuwa ni tabia yako siku zingine utapuuzia hizo hasira na utadharau tuu na kumpuuza adui yako then uaepusha kusumbua moyo wako na tumbo kupata attack za haraka ambazo huenda kukusababishia ulcers au presha ya kupanda au kushuka oky

asante mkuu

Back
Top Bottom