Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

Habari zenu wakuu,

Nina tatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa. Sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. Naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana.

Kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio la kutosha..

Wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.

Nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena (japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe).

Naombeni msaada nifanye nini napokasirika?

NB: Nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... Mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa!

Asanteni..
===========

MADA HII IKIWA NA MAONI YA WANAJF IMESOMWA PIA KWENYE KIPINDI CHA JAMII LEO. TAZAMA VIDEO;

Nilikuwa sijakusoma mmmmh
 
Naomba nielewe kitu kabla sijakushauri

ukipata hasira ndo unaenda kunywa ili ulewe na uzime?
na ukishazima unaliwa? na yoyote alie karibu?
ndo hasira zinaisha after ?

nieleweshe hapo kwanza
Duh mkuu umeuwa
 
Poleh Mungu akufanyie wepesi upone na hio hali
Baadhi ya vitu viko kiroho
Nilishawahi kuwa mtu wa hasira sana,it has costed me some relationships I valued so much, family, boyfriends nk
Ilinitesa sn,niliombewa I felt free,and nikaomba mwenyewe ili nibadilike,
Ss inabd ujifunze kutulia, kuvumilia makwazo,kusamehe bila kuombwa,kutake things easy,na kukaa kimya mtu akikukwaza,ni ngumu ila utaweza n utakua so happy
People describe me kama 'mpole' nowadays, ama yule hata hakasirikagi,ama yuko so calm nk
 
hujafanya mapenzi mda mrefu hata kama umefanya basi hujawahi kufika kileleni hizo hasira zinatokana na kukosa utamu
Hili nalo lina ukweli, mtu akikutuliza akili inakaa sawa
 
Miss chagga;
Mimi ushauri wangu ni kumtafuta Mungu tu. Kama neno lake linavyosema; Mt. 11 : 28 Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Huyu ndiye pekee aliyeahidi kukusaidia sio sisi wa jf. Wengine tunasema, Dah! Kumbe miss chagga ni kichaa! Wengine hata michango yako mizuri humu hawataisoma tena. Ni mmoja tu hawezi kukutupa; Yesu Kristo Mwokozi.
Muone mchungaji wako umweleze haya. Kama umekosa kabisa ni PM nitakusaidia kiroho zaidi bure.
 
Miss chagga kwanza hongera kwa kuweka wazi suala hilo. Naamini utapata tiba tu. Mi nashauri tena japo utatumia gharama kidogo ila mtafute mtaalamu wa saikolojia
 
Mshirikishe Mungu Matatizo kama haya huku ukiwatafuta wataalam Wa saikolojia utafanikiwa. Mungu akufanyie wepesi.
hakika Mungu alie kuumba anaweza kukubadilisha.Nilikua na such byfriend at first nilitaka nimwache bt akitulia ni bestman ever.So nikasema gemi nalivalia njuga we nikaanz kwa kumcancel if anajua chanzo tulikua tunaongea mara kwa mara tatizo linapotokea nakua mpole il nisiongeze soo.basi baada ya kuju kwamba hajui chanzo anajijikuta tu zimepanda thanks God hakua anakunywa japo alikua ivo.Basi nikaanza kumshirikisha mambo ya Mungu maana hakua wa kanisa wala msikit akawa leo anasikiliza kesho hivo ivo .Bt nilianza kuwa namwombea siku akifurahi tunaomba pamoja nikawa namwonyesha luv na kumjali mno nilijifanya mjinga then akiwa ananitembelea anakuta naangalia channel za din basi mara anapenda mara toa na akisema usipotoa mh! utazan kwake so nikawa nakomaa maombi akawa kama kabadilka flan tukawa ok kama five moth khe siku aina jina asubui tunaenda job kuna kaka akawa ananisemesha nimwambie abane kidogo apite wee alishuka na kuanza kuzikunja na yule kaka alikiona cha moto.but all in all maombi na counceling kwa neno la Mungu tulivokua tunafanya kwa bidii toka 2012 ya ndoa till now amekua mtu wa tofauti mno hasira za kupitiliza kwishe.Happily ever after.God is good.
 
Miss chagga kwanza hongera kwa kuweka wazi suala hilo. Naamini utapata tiba tu. Mi nashauri tena japo utatumia gharama kidogo ila mtafute mtaalamu wa saikolojia
asante mkuu
 
Miss chagga;
Mimi ushauri wangu ni kumtafuta Mungu tu. Kama neno lake linavyosema; Mt. 11 : 28 Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Huyu ndiye pekee aliyeahidi kukusaidia sio sisi wa jf. Wengine tunasema, Dah! Kumbe miss chagga ni kichaa! Wengine hata michango yako mizuri humu hawataisoma tena. Ni mmoja tu hawezi kukutupa; Yesu Kristo Mwokozi.
Muone mchungaji wako umweleze haya. Kama umekosa kabisa ni PM nitakusaidia kiroho zaidi bure.
amina mkuu
 
Habari zenu wakuu,

Nina tatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa. Sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. Naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana.

Kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio la kutosha..

Wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.

Nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena (japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe).

Naombeni msaada nifanye nini napokasirika?

NB: Nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... Mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa!

Asanteni..
===========

MADA HII IKIWA NA MAONI YA WANAJF IMESOMWA PIA KWENYE KIPINDI CHA JAMII LEO. TAZAMA VIDEO;

Pole sana.
Kizuri kikubwa umeweza kutambua tatizo, hiyo ni hatua kubwa sana.

Si rahisi kukwambia solution step by step maana wakati mwingine inategemea kiini cha matatizo haya ni nini.

Moja ya njia za kiujumla katika mambo haya ya stress, au addiction ni kujaribu ku-distruct yourself/brain. Nenda for a walk, au gym, au beach au fanya kitu unachopenda hata kama ni window shopping, nendampirani, angalia movie au tafuta supporting body yaani mtu ambaye unaweza ongea nae wakati wowote, ambaye anaweza kukupa story tofauti nk
Sisi wengine hali hii ndiyo huwa kichocheo cha kufanya zoezi kali, jogging, weight lifting au walking na kwa vile unachoka unakuta hata glass moja ya wine au whisky unalala hoi so brain inapumzika vizuri.
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
Habari zenu wakuu,

Nina tatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa. Sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. Naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana.

Kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio la kutosha..

Wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.

Nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena (japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe).

Naombeni msaada nifanye nini napokasirika?

NB: Nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... Mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa!

Asanteni..
===========

MADA HII IKIWA NA MAONI YA WANAJF IMESOMWA PIA KWENYE KIPINDI CHA JAMII LEO. TAZAMA VIDEO;

daah naiona thread yako Mkuu
Hope you are fine now
 
Back
Top Bottom