Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

Unahitaj maombi too tatizo lako kuna mizimu ndio inayokudrive kuna minyoror umefungwa bila weww kujua tafuta mtumish wa mung unayeamuamin pia mweleze kama weww n mkristo au Muslim zingatia kusoma maandiko matakatifu yatakusaidia usiende kwa mganga wala nn
 
Habari zenu wakuu,

Nina tatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa. Sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. Naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana.

Kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio la kutosha..

Wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.

Nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena (japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe).

Naombeni msaada nifanye nini napokasirika?

NB: Nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... Mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa!

Asanteni..
===========

MADA HII IKIWA NA MAONI YA WANAJF IMESOMWA PIA KWENYE KIPINDI CHA JAMII LEO. TAZAMA VIDEO;

Pata mtu wa kukushauri, penda kukaa na watu wachangamfu, tembelea sehemu za garden na miti mingi(Nature), listern to slow musics...jiaminishe kuwa utaishinda hii hali cause everthing comes from your brain an everthn gets SOLVED by your brain...
Note;
Usipende kukaa na watu wenye masihara, au utani na wale unaoamini at anytime atakutoa kwenye mood...kaa na watu wanaokufanya ucheke na kuwa na amani moyoni utaanza kuona changes as time goes by.
 
Mimi nakwambia kweli nikipitisha wiki moja sijachapa mzigo ilihali nahisi hamu kwa siku zote hizo, huwa nakuwa na hasira nisizoziimili, nikishachapa mzigo kila kitu kinakaa sawa. Vipi unapata makamuzi yakutosha?
 
Asante mkuu nitafanyia kazi
 
Mimi nafikiri mkuu ujaribu kuwa unashare na mtu unayemwamini somtimes sharing inapunguza hasira na kujikuta roho swaafi. Lakini pia unaweza kujifunza namna ya kupotezea!! I once used to be like that, but with time and age aaah now am too good and busy to waste my time!! ukiniuzi sana sana I will just find a peaceful place and stay there while talking to someone. Anyway, kukasirika ni sehemu ya ubinadamu!!
 
Mimi nakwambia kweli nikipitisha wiki moja sijachapa mzigo ilihali nahisi hamu kwa siku zote hizo, huwa nakuwa na hasira nisizoziimili, nikishachapa mzigo kila kitu kinakaa sawa. Vipi unapata makamuzi yakutosha?

Kuna watu humu sijui wametoroka mirembe au wanatakiwa central police pia !!
 
Hio hali ni hali ambayo unaweza kuibadilisha, hasira unaweza kuibadilisha wewe mwenyewe tena kwa kupuuzia tu, kuwa aah kwani kitu gani, najikumbuka mimi mwenyewe nilikuwa nina hasira sana, nyumbani balaa ni kila wakati sitaki kuonewa na rafiki wala kaka wala dada angu, lakini huwezi amini nimejicontrol mpk sasahivi nimekuwa raia wa kawaida kabisa, ata unifanye nini sina time kabisa, tabia hio ukiwa nayo inaendana na kukosa usingizi unakuwa mtu wa mawazo usiku kucha, nimeacha vyote ata unifanye nini sshivi nakoroma tuu yaani nasahau kabisa kama ulinifanya kitu, kwaiyo jicontrol tu, maana hio hali ni hatari kwa afya yako na kwa sifa ya mtoto wa kike
Dah hongera mkuu,
 
Aisee hata mimi nina hasira sana tena za haraka mno ila kuleta impact ni nadra. Nadhani ni asili yetu kwetu ukoo wa Washana baba zangu wote ni short tempered. R.i.P Mama nae alikuwa mkali yani, hapendagi ujinga ingawa alikuwa na upendo sijawahi ona yani. Mshua nae mzungu wa roho balaa ila shida ni akimaindi anaeza kunyonga.

Kwangu mi hasira cjui nmechukua za nani kati ya hao wazazi ila najijua so napendaga kucheka na watu mara nyingi utani mwingi na kumaindi mara chache ni mpaka unikere sana. Tutacheka sana ila in real life kebehi na dharau ndio haswaa sifagili yani ukitaka ni blow into flames uniguse maeneo hayo. Sitaangalia we ni nani na wadhifa gani tutaharibiana tu.

Njia ninayotumia kama anger control ni kutukana kistaarabu tu bila kupayuka...Yani hata ukinudhi kiasi gani nikitukana tu on the spot hapo hasira zinaisha kabisa tunakuwa marafiki tena. Sinaga tabia ya kuweka vinyongo.

Kupigana niliacha utotoni, na utu uzima huu nimefanikiwa kumtia makofi demu wangu tu aliekuwa analeta dharau za kike nkamuonesha kilichomtoa kenge manyoya.

Vinginevyo miss chagga unaweza ukajaribu hii njia mi inanisaidia sana. Inaniepusha na mengi mabaya ya hasira.
 
asante mkuu ,.. usipige utaua
 
Habari zenu wakuu,

Nina tatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa. Sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. Naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana.

Kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio la kutosha..

Wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.

Nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena (japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe).

Naombeni msaada nifanye nini napokasirika?

NB: Nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... Mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa!

Asanteni..
===========

MADA HII IKIWA NA MAONI YA WANAJF IMESOMWA PIA KWENYE KIPINDI CHA JAMII LEO. TAZAMA VIDEO;

The only thing ninachoweza kukushauri kwanza kabisa ni hatua kubwa sana umefikia kuweza kutambua kua wewe ni mtu mwenye Hasira.. HIYO NI DAWA NAMBA 1

lakini

DAWA NYINGINE ni watu wanaokuzunguka..unajua kila hasira ina chanzo..na binadamu yeyote Hasira zetu hua vyanzo ni watu wanaotuzunguka..yaweza kua mtoto..jirani..rafiki..au mtu baki ila kikubwa Penda kua Mtu wa Peke ako peke ako...unajua ni bora uonekane mkimya kuliko watu wakae wakiamini wewe ni mkorofi/mtata..Kaa zako peke ako muda mwingi..kama ni Out jitoe Out peke ako...Hata usitake mpenzi au mtu akutoe out au kukupeleka mahali coz Mtu huyo huyo unaesema akupeleke mahali anaweza akawa chanzo cha kukufanya uwe na hasira...

mfano: umetoka out na mpenzi wako..ghafla anapigiwa simu na rafiki ake wa kike simu..wewe ukiona ile simu TAYARI unavimbaaaaa...Hasira hizoo...mpaka akueleweshe sio leo.
so jaribu kua mtu wa kuishi peke ako maisha ya peke ako...Hutopungukiwa na kitu.

Ukiwa peke ako kuna muda utafikia unahamu ya kua na marafiki utafika muda utatamani kukaa na mpenzi wako sasa bhas ikifikia Muda huo Ndio muda wakumuita rafiki/mpenzi unaetaka kua nae kwa wakati huo...atapokuja itakua ngumu wewe kukasirika coz moyo wako utakua unamuhitaji huyo mtu kwa wakati huo so utajikuta uki enjoy uwepo wake.

Ila kuandamana na marafiki watu watu lazima hao watu watakusababishia MAAFA.

Nadhani utakua umepata kitu hapo..nakwambia hayo coz mimi nina HASIRA mpk sijielewi mimi nikosema kitu mara moja hua sitaki kurudia..na nikikuta hujafanya naweza kukufanya kitu cha ajabu..bhas katika maisha yangu ili nisigombane na watu hua naishi maisha yangu mimi kama mimi...huwez nikuta et nakwambia naenda mpiran..au kucheki mpra au et naenda club yani huez nikuta sehem za watu watu..mimi maisha yangu n mimi na Kazi yangu na simu yangu...Wanawake hawaniwez coz MIMI NAPIGA NUSU KUUA...bhas solution pekee inayonisaidia ambayo naamin naww itakusaidia ni hiyo.

Kama una mpenzi...epuka kushika simu yake..usimfatilie yani muache aishi kama awezavyo coz ukifanya hayo lazima mtaachana tu..mwenzako mimi sikagui sim ya mpenz wangu..sishki chchte chake coz najua nikishika kwanza MIMI SIKOSAGI KOSA....so najua lazima ntakuta kosa so ntakasirika yani mimi Sijui hata nijielezeeje ila

Nakuomba Fata hayo machache UTANIKUMBUKA.
 
mapenzi yana maudhi
Inategemea na aina ya mapenzi na unayempata kukupa penzi.
Jitahidi sana kukumbuka maneno matatu yakiongozwa na
Wewe ninani?
1. umetoka wapi
2. Upo wapi na
3. Unakwenda wapi

Jitahidi sana kulala lakini si kunywa pombe.
 
asante mkuu
 
Back
Top Bottom