GUI
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,847
- 1,300
Ukweli kutoka moyoni mwangu nilijua miss chaga ni mwanamke asie na makuu kulingana na comment za humu javiniAsante mtumishi nitatafuta damu ya yesu
Ukweli kutoka moyoni mwangu nilijua miss chaga ni mwanamke asie na makuu kulingana na comment za humu javiniAsante mtumishi nitatafuta damu ya yesu
Other side of meUkweli kutoka moyoni mwangu nilijua miss chaga ni mwanamke asie na makuu kulingana na comment za humu javini
Haya mamaOther side of me
Siivrahisi mkuu mimi nakasirika na tapika mwaka 2006 niliwahi kukasirika nikazimia nikajikutabhispital na drip mbili

We call it generation or family spiritJina lako si miss chagga kwa maana wewe ni Mchaga?! Wala usipate shida, nadhani Wachaga mna genes za mihasira! Nishawahi kuwa na totoz za Kichaga mara mbili; na wote full mihasira! Nilikuwa nawapendaga hao balaa manake nina aleji na wasichana wananyonge wanyonge! Kama unadhani nadanganya; tafuta kwenye familia yenu... ni nani hana hasira.
miss chagga nenda kwa Yesu Kristu tu. Watu wa saikolojia watakufundisha kuishi na tatizo ila kwa Yesu tatizo lako ataliondoa!Utakuwa na ugonjwa wa ukichaa au kwa jina la Kizungu wanaita Bordeline Personality Disorder (BPD) nakushauri kama upo Bongo uende kwa Kitila Mkumbo yeye ana PhD ya psychology labda atakusaidia kidogo lkn ni ngumu sana kupata tiba yake hapa Bongo kwani hatuna hawa Wataalamu!
Wanasema hii inatokana na madhara ambayo uliyapata wkt ukiwa mtoto, labda ulibakwa au kuteswa kwa ujumla ulikosa mapenzi utotoni ambapo mtoto wa kawaida hupata ktk kwa Wazazi au Walezi vile vile kuna kurithi wengine hurithi huo ukichaa ulio nao hivyo angalia kwenye familia yako kama mna asili ya ukichaa basi hapo na wewe utakuwa umerithi na hapo hakuna kitu utafanya, ningekushauri usianzishe mahusiano ya kimapenzi ili kutokuwadhuru wengine, nilishwahi kuwa na Demu mwenye huo ukichaa, hivyo najua ninachokiongelea!
Duh this is seriousMkuu hapana ni issue ya miaka nimechoka kuwa kama bomu
Its very true hiyo ni genes kuna kipind nlikua Arusha kuna msichana mmoja tulikuwa tunabishana mambo ya kawaida sana akapasua chupa akataka kunichoma karibu na moyoJina lako si miss chagga kwa maana wewe ni Mchaga?! Wala usipate shida, nadhani Wachaga mna genes za mihasira! Nishawahi kuwa na totoz za Kichaga mara mbili; na wote full mihasira! Nilikuwa nawapendaga hao balaa manake nina aleji na wasichana wananyonge wanyonge! Kama unadhani nadanganya; tafuta kwenye familia yenu... ni nani hana hasira.
Weekend nakuwa najenga taifa badoDuh this is serious
Wkend huwa una ratiba gani?
Twende church upewe mafundisho ujisimamie
Ni spirit of "Anger"Spirit of hunger(sijui spelling ni sawa)
Hapa bila damu ya Yesu dear wangu hii hali itakua inarudia!
Bado aiseeKama umefikia umri wa menopause inawezekana ndiyo sababu unapata hasira. Nenda kwa gynacologist waangalie hormonal system yako ikoje. Pole sana. Hata kama haujafikia umri wa menopause, ni vyema ukapime.
Habari zenu wakuu,
Nina tatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa. Sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. Naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana.
Kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio la kutosha..
Wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.
Nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena (japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe).
Naombeni msaada nifanye nini napokasirika?
NB: Nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... Mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa!
Asanteni..
===========
MADA HII IKIWA NA MAONI YA WANAJF IMESOMWA PIA KWENYE KIPINDI CHA JAMII LEO. TAZAMA VIDEO;
nadhani utakuwa umejifunza loh.Nilijuaga niko peke yangu kumbe tuko wengi....
Kuchepuka ni uamuzi tu wa mtu. Unadhani kuna mtu utakaye-date asiwe na udhaifu? Umeona kuna dume la mbegu hapo juu limemsaidia mchumba ake alokuwa na tatizo la hasira, hadi ametulia now? Wewe huna udhaifu unaobebewa? Ukiona huwezi kuishi na udhaifu wa mtu, muache tu, hamna haja ya kuchepukaHalafu mnalalamika wanaume wana michepuko! Kwa tabia hizi acha tuwe nayo.
Nimekusaidia kutoa boonge la msonyo.Kuchepuka ni uamuzi tu wa mtu. Unadhani kuna mtu utakaye-date asiwe na udhaifu? Umeona kuna dume la mbegu hapo juu limemsaidia mchumba ake alokuwa na tatizo la hasira, hadi ametulia now? Wewe huna udhaifu unaobebewa? Ukiona huwezi kuishi na udhaifu wa mtu, muache tu, hamna haja ya kuchepuka