SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,224
- 9,909
Naomba kufahamu mji wa shinyanga nakama kuna mwenyeji ani Pm
Tafadhali kama. Sio mwenyeji usinipm
Tafadhali kama. Sio mwenyeji usinipm
Nahitaji kupafahamu zaidiKaribu
Hujafafanua zaidi, ni kipi unahitaji.Nahitaji kupafahamu zaidi
Biashara na kuishiShinyanga ni kubwa sana, Shinyanga yote, ama sehemu gani?
Na unalenga, maisha ya kuajiriwa, biashara ama kitu gani?
Maisha ya huko na biashara ipoje pia na watu wenyeweuanataka kujua nn tukusaidie mpka namba za wenyekiti wa mitaa
KwaniniShy hapana aise🚮
Kuishi na biasharaHujafafanua zaidi, ni kipi unahitaji.
Kahama ndio pamechangamka zaidi kwa biashara.Biashara na kuishi
Unaenda kuchimba almasi au? Bas tu matajiri wanauweza maskini huweziKwanini