Katoro saluti,,,watu wamewekeza sana mashamba ya mitiBiashara nenda kahama au mwaza au katoro,shy labda ufanye biaahara za mifugo na uchimbaji wa dhahabu.
NI mji wa wafanyakqzi hauna harakati za kibiashara mzunguko wa kawaida sana,ila ni mji mzuri msafi na uliopangika
Usafiri mkuu ni daladala za baiskeli,wenyeji ni wasukuma jiandae kujifunza kisukuma wanapenda wanawake weupe,wa karimu sana ila hawapendi dharau.