Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 763
maisha = Mapenzi = kupenda
Nafikiria kuishi single sitaki kuolewa wala kupenda mwanamume kwa moyo wangu wote kwa lengo la kutoumizwa tena. Kiasi nilichoumia kinatosha na leo nina furaha maana niko huru.
Naelewa nitahitaji watoto; nadhani itakapofikia muda muafaka nitatafuta kidume cha mbegu special kwa kupata uzao tu na si kwa mapenzi toka moyoni mwangu. Ninajiwekea akiba ambayo itanifanya nijitegemee na kuishi kwa furana bila kutegemea msaada toka kwa mume/mpenzi.
Mikwara tu hakuna lolote. Hasira zikiisha " Ooooh Dear nimekumic niliover react my sweetie, nisamehe ila na wewe bwana achana na huyo mwanamke" ahahahahahahahaha
Ndugu yangu usitukane mamba na hujavuka mto maisha unayoyataka utayaweza? Matoy si mazuri kama msuri original lile nyama lenyewe lile nafikiri unalijua!!!!!. Na kumbuka maisha unayoyataka yana class yake si kila mtu tu anayaweza mama. We penda ila usipende kizoba unajiachia moyoooo wooooooooote ndo mana jamaa akikuwaza tu unaanza kusema maneno ambayo badaye unakuja kujilaumu. Penda but uwe 50 50 mapenzi bongo kwenye hiki kizazi cha sasa ni ishu ukijifanya umefika saanaaaa umekwisha,, unatakiwa unakuwa mguu ndani mguu nje kudadadekii,,, :bathbaby:
Mikwara tu hakuna lolote. Hasira zikiisha " Ooooh Dear nimekumic niliover react my sweetie, nisamehe ila na wewe bwana achana na huyo mwanamke" ahahahahahahahahaNafikiria kuishi single sitaki kuolewa wala kupenda mwanamume kwa moyo wangu wote kwa lengo la kutoumizwa tena. Kiasi nilichoumia kinatosha na leo nina furaha maana niko huru.
Naelewa nitahitaji watoto; nadhani itakapofikia muda muafaka nitatafuta kidume cha mbegu special kwa kupata uzao tu na si kwa mapenzi toka moyoni mwangu. Ninajiwekea akiba ambayo itanifanya nijitegemee na kuishi kwa furana bila kutegemea msaada toka kwa mume/mpenzi.
Naomba ushauri wako, sitaki kufanya kosa katika mipango yangu ya maisha.
ushauri wa nini sasa na tayari umeshaamua cha kufanya.
Nafikiria kuishi single sitaki kuolewa wala kupenda mwanamume kwa moyo wangu wote kwa lengo la kutoumizwa tena. Kiasi nilichoumia kinatosha na leo nina furaha maana niko huru.
Naelewa nitahitaji watoto; nadhani itakapofikia muda muafaka nitatafuta kidume cha mbegu special kwa kupata uzao tu na si kwa mapenzi toka moyoni mwangu. Ninajiwekea akiba ambayo itanifanya nijitegemee na kuishi kwa furana bila kutegemea msaada toka kwa mume/mpenzi.
Naomba ushauri wako, sitaki kufanya kosa katika mipango yangu ya maisha.
... kuhusu kuzipunguza mwilini utalitatuaje muda wote huo?

Umeonaee tumuache afuate alivyoamua asije kesho akatendwa tena akasema tulimpotezaBora uishi utakavyo maana tukikushauri jinsi ya kuishi tunaweza kukosea pia!