Nafikiria kuishi hivi...... naomba ushauri.

Nafikiria kuishi hivi...... naomba ushauri.

Nitakukumbuka na kukuombea,usikate tamaa maana kuumizwa kwa leo huenda ni kufunguliwa kwa mlango mzuri wa maisha ya baadae na huenda kuna mabaya unaepushiwa ila kwa kuwa sisi ni wanadamu tunaona ya hapa karibu tunakata tamaa mapema bado una nafasi ya kupata mambo mazuri na maisha mazuri baadaye jipange upya na kubaliana na hali halisi.
 
Viapo vingine ni maagano na shetani.

Epukeni kula viapo; mtu akikutenda sema tu 'we were not meant for each other'. Sio ooh mi sipendi tena ooh siolewi tena...ooh ntaishi peke yangu...mnajiwekea laana kwani shetani hapo anachekelea tu; na anapiga seal.
 
Yaliyokukuta best ni kama yaliyonikuta mm 2muombe tu mungu atupe haja za mioyo ye2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom