Nafikiria kuishi hivi...... naomba ushauri.

Nafikiria kuishi hivi...... naomba ushauri.

happiness win

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
2,461
Reaction score
1,394
Nafikiria kuishi single sitaki kuolewa wala kupenda mwanamume kwa moyo wangu wote kwa lengo la kutoumizwa tena. Kiasi nilichoumia kinatosha na leo nina furaha maana niko huru.

Naelewa nitahitaji watoto; nadhani itakapofikia muda muafaka nitatafuta kidume cha mbegu special kwa kupata uzao tu na si kwa mapenzi toka moyoni mwangu. Ninajiwekea akiba ambayo itanifanya nijitegemee na kuishi kwa furana bila kutegemea msaada toka kwa mume/mpenzi.

Naomba ushauri wako, sitaki kufanya kosa katika mipango yangu ya maisha.
 
mie naushauri tofauti sana fanya kufikiria japo siombei vp ukipata hao watoto na kisha mungu akakupenda zaidi ...... fanya kufikiria vipi ukiishi to your golden aged days ..... vp kuhusu ur emotionals.... mi nakushauri jipe mda wa kurecovery the pains u a having mpaka pale utakapoona kweli u a good na pains a gone ufanye re-thinking of what should be your next step and how ........
 
Its up to you if you want to be single or not :biggrin1:
 
utabaki kutoa uputu tu sasa bila kupenda eeeeeh.....!!!!
 
happiness win maisha ya mapenzi ndo yako ivyo, unatoswa unaumia sana, zamu yako itafika utatosa na utajisikia vizuri, ndo maisha never give up on love... mi niliempenda kwa dhati alinitosaga katikati ya safari wakati ndo mambo yamenoga, nkawachukia wasichana nikaamua kumaliza hasira zangu kwa kuwagonga na kuacha ebanaeeeh hata idadi siikumbuki mwishowe nikaona upuuzi tu huu ngoja nitulie, saa hizi nimempata nimpendaye nimetulia kabisa, sasa ukisema hutaki tena mwanaume je ukishikwa nyege itakuwaje? au ndo utakuwa mtu wa matango aka vibrator za kienyeji
 
Last edited by a moderator:
Fuata maamuzi yako siku ukiona yamekushinda..vunja kiapo jitose.
 
kinda ulishaamua,unahitaji ushauri tena
lakini wacha nikushauri kabla hujaKHANDAMIZA!kwenye uamuzi wako
unajua mapenzi ni kitu cha tofauti sana,leo unatamka hutakaa upendwe kwa sababu umeumizwa kwenye mapenzi
jiulize je/?huyo anayekufanya uamue kuwa hutapenda tena analistahili penzi lako?and now does he worth it kukufanya uamue kutokupenda tena?
sio wote tuaowapa mioyo yetu wanastahili kupewa
lakini haimaanishi hakuna wanaostahili kupendwa nasi!umeruhusu akuumize mkiwa kwenye mahusiano na sasa unaruhusu akuumize baada ya mahusiano!kuna sababu gani ya kumpa mtu nafasi atawale maisha yako hata baada ya kuachana nae?
 
karibu chama la mabachelor
hakuna mapenzi yale ya kugandana ni siku za kale
ya siku hizi ni kuumizana moyo tu...
kama una moyo mwepesi kama mimi itakula kwako...
 
Let me contribute my ideas from this angle......
You were in a relationship, and you gave the whole of your heart to your partner and you were hurt. Sit back, relax
Sometimes, we make mistakes in our lives, but life has to go on. You made a mistake by giving your heart to a wrong person; do not do another mistake by changing your life and your principle just for this worthiless person.
Learn from your mistake, pull up yourself, move on..... Stronger and more experienced this time.
Do not give this worthiless person such a power by changing your life principles........ You will always remember such a fool because he was your "turning point" to the extent of you changing your life style
Endelea na maisha, one day very unexpectedly atatokea mtu ambae atakupenda na kukuheshimu. All the best.
 
Nafikiri umefanya maamuzi wakati una hasira na sidhani kama ni maamuzi sahihi. Take time to think about your decision then u can improve ur decision to suit your future. Usipende sana kufunga milango,inawezekana kuna kitu mungu anakufundisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom