Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,655
- 109,315
Mimi nitakupa ushauri ukitaja umri wako kwanza.
Hili si tatizo. Sidhani kama nitakosa mtu wa kunisaidia kuzipunguza pale nitakapohitaji.
Unajidhulumu tu:rant:.. jipe muda..jitathmini... samaki bao kibao bakharini..Nafikiria kuishi single sitaki kuolewa wala kupenda mwanamume kwa moyo wangu wote kwa lengo la kutoumizwa tena. Kiasi nilichoumia kinatosha na leo nina furaha maana niko huru.
Naelewa nitahitaji watoto; nadhani itakapofikia muda muafaka nitatafuta kidume cha mbegu special kwa kupata uzao tu na si kwa mapenzi toka moyoni mwangu. Ninajiwekea akiba ambayo itanifanya nijitegemee na kuishi kwa furana bila kutegemea msaada toka kwa mume/mpenzi.
Naomba ushauri wako, sitaki kufanya kosa katika mipango yangu ya maisha.
kinda ulishaamua,unahitaji ushauri tena
lakini wacha nikushauri kabla hujaKHANDAMIZA!kwenye uamuzi wako
unajua mapenzi ni kitu cha tofauti sana,leo unatamka hutakaa upendwe kwa sababu umeumizwa kwenye mapenzi
jiulize je/?huyo anayekufanya uamue kuwa hutapenda tena analistahili penzi lako?and now does he worth it kukufanya uamue kutokupenda tena?
sio wote tuaowapa mioyo yetu wanastahili kupewa
lakini haimaanishi hakuna wanaostahili kupendwa nasi!umeruhusu akuumize mkiwa kwenye mahusiano na sasa unaruhusu akuumize baada ya mahusiano!kuna sababu gani ya kumpa mtu nafasi atawale maisha yako hata baada ya kuachana nae?
utaenda likizo kwa muda mfupi tu but soon utatamani tena, mind you simaanishi ile habari ya uta*u..... Namaanisha wishing to have someone who will love you unconditionally, and striving to bring the best out of you.... and you to do the same
Unfortunately for you (I would say), we were created/designed so... however many in relationships fall short of that basic need in our conscience and we are constantly ailing, the worst case scenario being what has happened to you (breakup).
Time is the best healer, mnaweza rudiana mkapendana ile mbaya. You never know what your ex is/will going/go thru, he may come begging, examine yourself, you might find something to apologize and be for forgiveness as well.
Mimi nitakupa ushauri ukitaja umri wako kwanza.
Fuata maamuzi yako siku ukiona yamekushinda..vunja kiapo jitose.
yaani nimekupenda bure ndugu yangu.........umetoa ushauri mzuri sanaaa.........watu hawafahamu kuwa maisha yote tunayoishi kwa ujumla ni risk taking.........ulikua na uhakika ungesoma vidudu hadi apo tuseme una kazi yako?...Unasafiri from point A to point B ni risk ungeweza kupata ajali labda ukafa..........mapenz nayo ni risk taking.....u should learn to accept and forget pale inapobidi...kama amekuacha huwez jua Mungu amekuepushia nini..learn to be confident,accept and let life go on.....................wanaume hawapend mwanamke ambae ni too demanding!!stand on ur own...learn to be free,smile,stand up and walk confidently.....eti hutakaa upende tena.....what a loss!!!!!!naomba futa ayo machozi na jiandae kumpokea mwanaume wako......huyo hakuwa wakwako dada yangu...mimi nimeoa mdada aliyekutana na wanaume wasio deserve her heart...walimtesa na kumnyongelea mbali....leo am her super man!!!!!!!!!!need say more? are u smiling?
Nafikiria kuishi single sitaki kuolewa wala kupenda mwanamume kwa moyo wangu wote kwa lengo la kutoumizwa tena. Kiasi nilichoumia kinatosha na leo nina furaha maana niko huru.
Naelewa nitahitaji watoto; nadhani itakapofikia muda muafaka nitatafuta kidume cha mbegu special kwa kupata uzao tu na si kwa mapenzi toka moyoni mwangu. Ninajiwekea akiba ambayo itanifanya nijitegemee na kuishi kwa furana bila kutegemea msaada toka kwa mume/mpenzi.
Naomba ushauri wako, sitaki kufanya kosa katika mipango yangu ya maisha.
Nafikiria kuishi single sitaki kuolewa wala kupenda mwanamume kwa moyo wangu wote kwa lengo la kutoumizwa tena. Kiasi nilichoumia kinatosha na leo nina furaha maana niko huru.
Naelewa nitahitaji watoto; nadhani itakapofikia muda muafaka nitatafuta kidume cha mbegu special kwa kupata uzao tu na si kwa mapenzi toka moyoni mwangu. Ninajiwekea akiba ambayo itanifanya nijitegemee na kuishi kwa furana bila kutegemea msaada toka kwa mume/mpenzi.
Naomba ushauri wako, sitaki kufanya kosa katika mipango yangu ya maisha.
Ujinga huu.naomba unipende mimi jamani coz nimetafuta girl mda mrefu na muda wa kuoa umeshafika nipo seriouz
We nawe mwanamke wa shoka unakaa kabisa na kulialia huku kwa kuaccept defeat? Kuwa city girl, dont obey the rules, make them!!! Anza wewe kuchagua wanaume unaowataka!, make ya own standards!, control the game! master the moves!<BR><BR>For insurance hakikisha unadate atleast 2 guys at par! hapo A akikuboa unajiliwaza kwa B.<BR><BR>Remember always use a CONDOM AIDS KILLS!!!!!!!!!