Nafikiria kuishi hivi...... naomba ushauri.

Let me contribute my ideas from this angle......
You were in a relationship, and you gave the whole of your heart to your partner and you were hurt. Sit back, relax
Sometimes, we make mistakes in our lives, but life has to go on. You made a mistake by giving your heart to a wrong person; do not do another mistake by changing your life and your principle just for this worthiless person
.
Learn from your mistake, pull up yourself, move on..... Stronger and more experienced this time.
Do not give this worthiless person such a power by changing your life principles........ You will always remember such a fool because he was your "turning point" to the extent of you changing your life style
Endelea na maisha, one day very unexpectedly atatokea mtu ambae atakupenda na kukuheshimu. All the best.
snowhite love this!hiyo ndo shida kiukweli kuamua kitu kwa sababu mtu amekuumiza basi unaamua kitu for the rest fo ur life!
 
We nawe mwanamke wa shoka unakaa kabisa na kulialia huku kwa kuaccept defeat? Kuwa city girl, dont obey the rules, make them!!! Anza wewe kuchagua wanaume unaowataka!, make ya own standards!, control the game! master the moves!<BR><BR>For insurance hakikisha unadate atleast&nbsp;2 guys at par! hapo A akikuboa unajiliwaza kwa B.<BR><BR>Remember always use a CONDOM AIDS KILLS!!!!!!!!!
 
Nafikiria kuishi single sitaki kuolewa wala kupenda mwanamume kwa moyo wangu wote kwa lengo la kutoumizwa tena. Kiasi nilichoumia kinatosha na leo nina furaha maana niko huru.

Naelewa nitahitaji watoto; nadhani itakapofikia muda muafaka nitatafuta kidume cha mbegu special kwa kupata uzao tu na si kwa mapenzi toka moyoni mwangu. Ninajiwekea akiba ambayo itanifanya nijitegemee na kuishi kwa furana bila kutegemea msaada toka kwa mume/mpenzi.

Naomba ushauri wako, sitaki kufanya kosa katika mipango yangu ya maisha.

SAsa hapa tukushauri nini na umeshaamua tayari na umepanga tayari hapa umeleta tu taarifa ya maamuzi yako kila la heri bibie
 
Let me contribute my ideas from this angle......
You were in a relationship, and you gave the whole of your heart to your partner and you were hurt. Sit back, relax
Sometimes, we make mistakes in our lives, but life has to go on. You made a mistake by giving your heart to a wrong person; do not do another mistake by changing your life and your principle just for this worthiless person.
Learn from your mistake, pull up yourself, move on..... Stronger and more experienced this time.
Do not give this worthiless person such a power by changing your life principles........ You will always remember such a fool because he was your "turning point" to the extent of you changing your life style
Endelea na maisha, one day very unexpectedly atatokea mtu ambae atakupenda na kukuheshimu. All the best.

Ngoja nitafute kamusi maana thread ya kiswahili imechangiwa kiingereza natamani kuelewa hii mapoint
 
Mtoto mzuri kama ulishafanya maamuzi sisi tutakushauri nini zaidi ya kukutakia mafanikio
all the best...
Mie nilisemaga naapa sitakuja kupenda ,Naapa sitakuja kuolewa
hahah leo hii nacheka tu na viapo vyangu

Sifajafanya maamuzi, bado niko kwenye kufikiria tu. toa ushauri tafadhali
 
Ngoja nitafute kamusi maana thread ya kiswahili imechangiwa kiingereza natamani kuelewa hii mapoint
DA unaniua sasa
Kitu cha msingi ninachotaka kusema ni kwamba usibadilishe utaratibu mzima wa maisha yako kwa sababu ya mpuuzi mmoja ambae ameshindwa kukuthamini. Ukifanya hivyo utakuwa unafanya kosa juu ya kosa, kwa sababu utamkumbuka 'mpuuzi' huyo siku zote za maisha yako kama mtu aliyekufanya ubadilishe jinsi unavyoishi. Utakuwa umempa heshima asiyostahili mpuuzi huyu.
Usifanye kosa hili, jifunze ulipokosea endelea na maisha yako.... ipo siku bila kutegemea atatokea atakaekupenda na kukuheshimu.....(Tafsiri isiyo rasmi ya nilichoandika hapo juu kwa faida ya DA na wengine)
 
Nafikiria kuishi single sitaki kuolewa wala kupenda mwanamume kwa moyo wangu wote kwa lengo la kutoumizwa tena. Kiasi nilichoumia kinatosha na leo nina furaha maana niko huru.

Naelewa nitahitaji watoto; nadhani itakapofikia muda muafaka nitatafuta kidume cha mbegu special kwa kupata uzao tu na si kwa mapenzi toka moyoni mwangu. Ninajiwekea akiba ambayo itanifanya nijitegemee na kuishi kwa furana bila kutegemea msaada toka kwa mume/mpenzi.

Naomba ushauri wako, sitaki kufanya kosa katika mipango yangu ya maisha.

Mbegu tu? Mbona sio tatizo..utaletewa hata kwenye mfuko wa Rambo
 
my huz C6 yan nlivokutuliza mpaka nafurahia na jinsi unavo-declare. . . so mwaaah
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana sijaeleweka.

Nimesema ninafikiria kuishi hivyo nikiwa na maana bado sijaamua kuishi hivyo, nimeomba ushauri wenu
Bibie, sasa hako kakikojoleo kakiwasha na kuhitaji kukunwa utatumia mbinu gani kukanyamazisha maisha yako yote?
 
karibu chama la mabachelor
hakuna mapenzi yale ya kugandana ni siku za kale
ya siku hizi ni kuumizana moyo tu...
kama una moyo mwepesi kama mimi itakula kwako...

Kumbe ndio stail ya siku hizi kuumizana mioyo? nitafanya mazoezi ya kuwa na moyo mgumu
 
DA unaniua sasa
Kitu cha msingi ninachotaka kusema ni kwamba usibadilishe utaratibu mzima wa maisha yako kwa sababu ya mpuuzi mmoja ambae ameshindwa kukuthamini. Ukifanya hivyo utakuwa unafanya kosa juu ya kosa, kwa sababu utamkumbuka 'mpuuzi' huyo siku zote za maisha yako kama mtu aliyekufanya ubadilishe jinsi unavyoishi. Utakuwa umempa heshima asiyostahili mpuuzi huyu.
Usifanye kosa hili, jifunze ulipokosea endelea na maisha yako.... ipo siku bila kutegemea atatokea atakaekupenda na kukuheshimu.....(Tafsiri isiyo rasmi ya nilichoandika hapo juu kwa faida ya DA na wengine)

Asante, umenifungua kitu; ni kweli MPUUZI mmoja asinibadilishie utaratibu mzima wa maisha yangu, Navuta pumzi, maisha lazima yaendeleee
 
DA unaniua sasa
Kitu cha msingi ninachotaka kusema ni kwamba usibadilishe utaratibu mzima wa maisha yako kwa sababu ya mpuuzi mmoja ambae ameshindwa kukuthamini. Ukifanya hivyo utakuwa unafanya kosa juu ya kosa, kwa sababu utamkumbuka 'mpuuzi' huyo siku zote za maisha yako kama mtu aliyekufanya ubadilishe jinsi unavyoishi. Utakuwa umempa heshima asiyostahili mpuuzi huyu.
Usifanye kosa hili, jifunze ulipokosea endelea na maisha yako.... ipo siku bila kutegemea atatokea atakaekupenda na kukuheshimu.....(Tafsiri isiyo rasmi ya nilichoandika hapo juu kwa faida ya DA na wengine)

Ewaaaaaaaaa swadakta sasa nimekuelewa umemwaga mapoint aisee dah sante sana dakitari
 
Back
Top Bottom