Anafanya makusudi,Mwanzo wa mwezi uwa wanataja baada ya sadaka ya kwanza. Muda wa vipaji, mf. Leo jumuiya flani italeta vipaji au familia fulani ina sadaka ya shukrani.. asubiri hizo, mbona zinakuwepo. Ni kwamba hajui au kusudi 🥹
Ijumaa kuu wanavyosemaga inafuata Ibada ya kuabudu msalaba huwa inamaanisha nini?!. Maana ndio ule muda tunaenda kubusu msalaba wenye sanamu anayesemekana ni yesuBiblia haisomwi kama kitabu cha hadithi. Ukisoma kama kitabu kama kitabu cha hadithi utaona kimejaa contradictions. Ufahamu kuwa karibia kila andiko lililopo katika biblia, lina mazingira yake, kufuatana na hali iliyokuwepo kwa nyakati hizo.
Ukisoma kama kitabu cha hadithi unaweza kuishia kwenye mambo ya ajabu yaliyo kinyume kabisa na ne o la Mungu:
Unaona andiko kama hili:
1 Kor 14:34
Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.
Ukisoma biblia kama kitabu cha hadithi si utaishia kusema wanawake wamezuiwa kusema chochote ndani ya kanisa, yaani wasisali, wasiimbe, wasihubiri wala kutangaza?
Kuelewa hasa kilichokusudiwa katika andiko la Biblia kunahitajika sana kuelewa mazingira ya agizo, tafsiri kutoka andiko asilia, na maana ya kuabudu. Usipoyajua hayo utakurupuka na vitu vya ajabu. Ufahamu kuwa kuna Encyaclopedis kwaajili ya ufafanuzi wa kila mstari wa biblia.
Unachotamiwa kufahamu ni kuwa imekatazwa kuitengeneza sanamu na kuifanya Mungu wako,ukaiabudu. Wote wanaoitwa wakristo, hakuna walio na sanamu miungu.
Ila linauza maombi. Yale maombi yanayoletwa na waumini huwa wanalipia ili yatangazwe.Kwa ufahamu wangu kuhusu kanisa katoliki, kwanza halitoi baraka/maombi kulingana na kipato chako,haliuzi maji/udongo au chochote,lakini kubwa zaidi unatoa kadri ya uwezo wako, as long as unashiriki kikamilifu katika shughuli za jumuiya na kanisa,utapata huduma sawa na tajiri.
Hata uwe tajiri vipi na hushiriki kikamilifu na kufuata taratibu hakuna atakaekuzingatia
Aliyefuma hilo dude alitulia asee !! Na huwa hawamuiti muumini hata angekua ana cheo gani duniani au humo humo kanisani !Ellen G white mwenyewe alishakiri Hilo dude haliwezi kutetereka,miaka ya mbele sabato itasambaratika lakini Hilo dude ni mpaka ukamilifu Wa dahari!
Hapo aje alog in afute comments zote 🤣 au kaacha hiyo tabia? Akiii ni maajabuAnafanya makusudi,
Shida yake Vinci Ile yeye kujiona special sana basi anataka kila mtu amuone hivyo.
Kama Ego haka katoto😂😂😂
Atakuja aanze kuwafokea mods kwamba kwa nini hawafuti comments za watu wanaomdhihaki.🤣🤣🤣Hapo aje alog in afute comments zote 🤣 au kaacha hiyo tabia? Akiii ni maajabu
💪Hi,
Happy New Year.
Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu.
Mkesha xmass nilienda kanisani ila ikabidi nikae nje tu mpaka ibada ilipoisha...never happened before. But niliona naenda poteza muda tu.
Why???
👉 Katoliki halimthamini mtu mwenye roho wa Mungu na mwenye Upako ndani yake, Ila yule anayetoa michango
👉Halithamini sadaka zako unazoto kwa yatima,wagonjwa,wazee, na wenye njaa..ila tu ILE MICHANGO UNAYOCHANGIA KANISANI
👉 Halithamini kujitoa kwako juu ya kanisa ila tu kwa PESA UNAZOTOA KANISANI.
👉Pesa tunazochanga zinaenda kuhusumia wanawake zao na watoto wao waliowapata nje ya utaratibu wao.
HIVYO.....
Yule anayetoa pesa kanisani na kua na ukaribu na viongoz wa kanisa, Mapadri nk ndio mwenye thamani zaidi.
Naomba mnipe mawazo chanya niweze kurudi relini aisee.... Mawazo ya kuhama yamenijaa ila sijui niende wapi ambapo THEY DON'T CARE ABOUT MATERIAL BUT SPIRITUAL AWAKENING
NB. Catholic sio mbaya ila wanao liongoza ndio shida.
Kweli there's a price to pay when you know a lot of things you weren't supposed to know
✖️
Duh ! basi hauwezi hata kujificha maana ID ya Khanji kapoor style za uadinshi uke ule comments fupi zenye upuuzi ndani yake wa kuchekesha.
Ukiona umenitambua nikiwa nimekuja kwa namna nyingine basi tambua kuwa una akili kubwa na kwamba umefaulu mtihani wangu, sasa hunabudi kuajiriwa nami.Duh ! basi hauwezi hata kujificha maana ID ya Khanji kapoor style za uadinshi uke ule comments fupi zenye upuuzi ndani yake wa kuchekesha.
Mada kubwa unarahisha kimasihara, kwenye ID zote haujabadilika kitu ndio maana ingekuwa rahisi watu tuliosoma kwa Fidel Castro kujutambua . Umekuwa kama Busu la Kenge au Mcmillan de Maghayo maana yeye ni loose Nut hata aje na ID mpya kiasi gani hata ziwe 100 utazitambua zote kutokana na uandishi wake.
Ila Mimi nikija na vazi jingine mtu hawezi kunitambua kwa urahisi maana nabadilika completely
Elewa kanuni hii kwanza. Mwenye nacho huongezewa na asiye nacho hunyang'anywa alicho nachoHi,
Happy New Year.
Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu.
Mkesha xmass nilienda kanisani ila ikabidi nikae nje tu mpaka ibada ilipoisha...never happened before. But niliona naenda poteza muda tu.
Why???
👉 Katoliki halimthamini mtu mwenye roho wa Mungu na mwenye Upako ndani yake, Ila yule anayetoa michango
👉Halithamini sadaka zako unazoto kwa yatima,wagonjwa,wazee, na wenye njaa..ila tu ILE MICHANGO UNAYOCHANGIA KANISANI
👉 Halithamini kujitoa kwako juu ya kanisa ila tu kwa PESA UNAZOTOA KANISANI.
👉Pesa tunazochanga zinaenda kuhusumia wanawake zao na watoto wao waliowapata nje ya utaratibu wao.
HIVYO.....
Yule anayetoa pesa kanisani na kua na ukaribu na viongoz wa kanisa, Mapadri nk ndio mwenye thamani zaidi.
Naomba mnipe mawazo chanya niweze kurudi relini aisee.... Mawazo ya kuhama yamenijaa ila sijui niende wapi ambapo THEY DON'T CARE ABOUT MATERIAL BUT SPIRITUAL AWAKENING
NB. Catholic sio mbaya ila wanao liongoza ndio shida.
Kweli there's a price to pay when you know a lot of things you weren't supposed to know
✖️
Bila kuchoka familiaMwamposa ampake mafuta au sio 😂
Mimi akili yangu ya kikachero ningekuwa USA tayari nipo CIAUkiona umenitambua nikiwa nimekuja kwa namna nyingine basi tambua kuwa una akili kubwa na kwamba umefaulu mtihani wangu, sasa hunabudi kuajiriwa nami.
Wala sipingi unalolisema.Mimi akili yangu ya kikachero ningekuwa USA tayari nipo CIA
AiseWhy???
👉 Katoliki halimthamini mtu mwenye roho wa Mungu na mwenye Upako ndani yake, Ila yule anayetoa michango