Naam, na Sir God aliagiza tuwapende majirani zetu kama nafsi zetu.Nyeto itaniweka kuume kwa mungu mwenyezi, kwa maana nyeto tafsiri yake ni kutozini.
Well said 😎.Naam, na Sir God aliagiza tuwapende majirani zetu kama nafsi zetu.
Kama unampenda jirani yako huwezi kumla, hvy tujile wnyw
Mkuu The best 007 naomba unifafanulie,hapo kwa walokole unaposali huwa hamtoi sadaka?ikiwa yes,utoaji wa hapo una utofauti gani na Catholic?l Sana mpaka hapa napoongea na wewe bado natamani kwenda kanisani but tangu wazungu wawaachie waswahili haya makanisa yamekuwa hovyo sn, msingi mkubwa ni sadaka.
Mie 🇻🇪Hi,
Happy New Year.
Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu.
Mkesha xmass nilienda kanisani ila ikabidi nikae nje tu mpaka ibada ilipoisha...never happened before. But niliona naenda poteza muda tu.
Why???
👉 Katoliki halimthamini mtu mwenye roho wa Mungu na mwenye Upako ndani yake, Ila yule anayetoa michango
👉Halithamini sadaka zako unazoto kwa yatima,wagonjwa,wazee, na wenye njaa..ila tu ILE MICHANGO UNAYOCHANGIA KANISANI
👉 Halithamini kujitoa kwako juu ya kanisa ila tu kwa PESA UNAZOTOA KANISANI.
👉Pesa tunazochanga zinaenda kuhusumia wanawake zao na watoto wao waliowapata nje ya utaratibu wao.
HIVYO.....
Yule anayetoa pesa kanisani na kua na ukaribu na viongoz wa kanisa, Mapadri nk ndio mwenye thamani zaidi.
Naomba mnipe mawazo chanya niweze kurudi relini aisee.... Mawazo ya kuhama yamenijaa ila sijui niende wapi ambapo THEY DON'T CARE ABOUT MATERIAL BUT SPIRITUAL AWAKENING
NB. Catholic sio mbaya ila wanao liongoza ndio shida.
Kweli there's a price to pay when you know a lot of things you weren't supposed to know
✖️
Baada ya kanisa Moja la kilokole lililokaribu na mleta mada Kununua vyombo vya muziki na kuanza kupiga nyimbo za Rose muhando kwa sauti ya juu, jamaa ameona bora ahamie kule awe Mzee wa kanisa.Watu wamehama catholic karne na karne hata kabla babu yako hajajua kuvaa nguo.
Lakini bado wapo na wataendelea kuwepo.
WHO THE FU**K D U THINK U ARE?
Tatizo sio katoliki, tatizo ni sayari ya fikra zako
Umepigwa bei gani sasa toka umewajua?Katoliki kwa sasa ni kanisa la kipigaji, tunatakiwa kustuka na kuwaambia ukweli, wanapotupeleka sipo.
Nimekusoma huko juu ukijiita Mkatoliki,kwa mstari huo wengi mnapotea kwa sababu hamjui mnachoenda kufanya Kanisani.Ni kweli kanisani kuna masanamu na yanaabudiwa wala sio uongo.
Kutokuwepo kwako Parokia uliyokuwa unasali unaona kuna tofauti yoyote mkuu?labda maendeleo yamesimama kwa sababu hawapati tena sadaka yako baada ya kuhama?Mm apa mmojawapo, nalipenda katoliki lkn linapoelekea sipo, huwezi amini nina zaidi ya miaka 7 sijaingia church na wala siwazi.
Roho Mtakatifu akuongoze.., usitochosheNaomba mnipe mawazo chanya niweze kurudi relini aisee.... Mawazo ya kuhama yamenijaa ila sijui niende wapi ambapo THEY DON'T CARE ABOUT MATERIAL BUT SPIRITUAL AWAKENING
Kwahiyo hutaki tuabudu Ekaristi 🙄Ni kweli kanisani kuna masanamu na yanaabudiwa wala sio uongo.
Kinachokufanya usiende ibada ni kwa sababu ya michango au kuna kingine mkuu?hizi sababu zenu mbona nyembamba sana!Mimi ni katoliki na sijaenda kanisani miaka miwili Sasa,
Siku hizi Kuna ukiritimba mwingi sana haswa wa michango
Hakuna kanisa linasimamia haki kama katoliki..Hata Mimi nawaaadmire sana Wakatoliki,,mambo yao jinsi yalivyo sytematic ,ibada taratibu zao they're are very smart kwa kweli.
Ila kwa sababu anataka kuheshimiwa Kanisani na kutambuliwa kusifiwa na kuwa appreciated sana
Basi hizi ministry za watu binafsi itakuwa mahali sahihi kwake.
Aombe Mungu Sasa asipate makanjanja..
Yeye anataka akitoa sadaka aitwe madhabahuni ili waamini wote wamjue yeye ndiye ametoa nyingi zaidi!Katoliki ni kama Bunge.. Wabunge wako pale kuwakilisha majimbo yao na wananchi wake, same to Katoliki muwakilishi wako ni Jumuiya.
Kanisa likianza kum appreciate mtu mmoja mmoja na utoaji wake sadaka, Misa itaisha saa ngapi?
Padri anaposema salini ili sadaka yenu na yangu ikubaliwe na Mungu Baba Mwenyezi uwa umesinzia? Zile baraka hapo hazikutoshi mkuu?
Leo ndio unafahamu kuwa Catholic ni Taasisi ya kunyonya fedha za watu bila huruma? Umechelewa sanaHi,