kwani wakati unahamia ULITUAMBIA! wewe sepa zako hakuna muRC anayekujuwa wala kubabaishwa na wewe!Hi,
Happy New Year.
Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu.
Mkesha xmass nilienda kanisani ila ikabidi nikae nje tu mpaka ibada ilipoisha...never happened before. But niliona naenda poteza muda tu.
Why???
👉 Katoliki halimthamini mtu mwenye roho wa Mungu na mwenye Upako ndani yake, Ila yule anayetoa michango
👉Halithamini sadaka zako unazoto kwa yatima,wagonjwa,wazee, na wenye njaa..ila tu ILE MICHANGO UNAYOCHANGIA KANISANI
👉 Halithamini kujitoa kwako juu ya kanisa ila tu kwa PESA UNAZOTOA KANISANI.
👉Pesa tunazochanga zinaenda kuhusumia wanawake zao na watoto wao waliowapata nje ya utaratibu wao.
HIVYO.....
Yule anayetoa pesa kanisani na kua na ukaribu na viongoz wa kanisa, Mapadri nk ndio mwenye thamani zaidi.
Naomba mnipe mawazo chanya niweze kurudi relini aisee.... Mawazo ya kuhama yamenijaa ila sijui niende wapi ambapo THEY DON'T CARE ABOUT MATERIAL BUT SPIRITUAL AWAKENING
NB. Catholic sio mbaya ila wanao liongoza ndio shida.
Kweli there's a price to pay when you know a lot of things you weren't supposed to know
✖️
Chawa mmekuwa na milio mingi sana.Hi,

Labda ww ni mgeni jf hunijui kama mimi ni Catholic mkereketwaChawa mmekuwa na milio mingi sana.
Yoote haya ni kwa sababu mmeambiwa acheni kuteka na kuua watu wenye mitizamo tofauti .
Acheni kuua watu, kupoteza watu, acheni task force za kijinga za wasiojulikana.
Vinginevyo hongera sana RC kukemea dhulma ktk kila jambo ikiwemo uchaguzi.
Hama tu... Who are youHi,
Happy New Year.
Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu.
Mkesha xmass nilienda kanisani ila ikabidi nikae nje tu mpaka ibada ilipoisha...never happened before. But niliona naenda poteza muda tu.
Why???
👉 Katoliki halimthamini mtu mwenye roho wa Mungu na mwenye Upako ndani yake, Ila yule anayetoa michango
👉Halithamini sadaka zako unazoto kwa yatima,wagonjwa,wazee, na wenye njaa..ila tu ILE MICHANGO UNAYOCHANGIA KANISANI
👉 Halithamini kujitoa kwako juu ya kanisa ila tu kwa PESA UNAZOTOA KANISANI.
👉Pesa tunazochanga zinaenda kuhusumia wanawake zao na watoto wao waliowapata nje ya utaratibu wao.
HIVYO.....
Yule anayetoa pesa kanisani na kua na ukaribu na viongoz wa kanisa, Mapadri nk ndio mwenye thamani zaidi.
Naomba mnipe mawazo chanya niweze kurudi relini aisee.... Mawazo ya kuhama yamenijaa ila sijui niende wapi ambapo THEY DON'T CARE ABOUT MATERIAL BUT SPIRITUAL AWAKENING
NB. Catholic sio mbaya ila wanao liongoza ndio shida.
Kweli there's a price to pay when you know a lot of things you weren't supposed to know
✖️
Tokea lini Muislam akahama kutoka ukatoliki?Hi,

Hapana kiongozi,tusibembelezane imani kuonekana Kanisa limejaa huku tunaojazana mule hatujui kwanini tupo humo ni ujinga.Usiondoke mkuu, bila wewe kanisa litatetereka sana.
Nani ataifanya kazi ya mama kanisa isipokuwa wewe?
That is the goodness of ISLAM,Njoo huku kwa wavaa kobaz dini ambayo haina cha mkubwa wala mdogo wakati wa ibada
siku moja mzee Ruksa alikuja kusali msikiti wa Kariakoo akakuta umejaa wakataka kumpisha akakataa akasalia nje.
Namimi nilitaka nimpe ushauri huuNakushauri uhamie Kwa Mwamposa na upakwe mafuta mara tu baada ya kufanya hivyo