Nafikiria kuachana na mke wangu

Nafikiria kuachana na mke wangu

Na usikute anawaza kukuacha hupati mimba kumbe ye ndo anatoa upepo 🙄
Jamani hamna haja ya kunishambulia kwa kuwa nyie ni wanawake....tumeshaenda hospital tukafanya vipimo shida ikaonekana iko wapi
 
Jamani hamna haja ya kunishambulia kwa kuwa nyie ni wanawake....tumeshaenda hospital tukafanya vipimo shida ikaonekana iko wapi
Mimi sijakushambulia popote nlitaka kujua kama una mtoto au watoto, ila kwakua huna, haya basi sawa........

Muache tu huyo mke, tuachie....tugee na namba zake.
 
Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Usimuache! Si kosa lake! Unapaswa umpende, umthamini, umjali, umuombee, umfariji! Tafuta tiba ya changamoto yenu ikibidi nendeni hospitali pamoja mkacheki afya zenu kujua shida ni nini?
 
Yawezekana shida ipo kwako lkn inshaallah nimipango ya mwenyezi mungu kama mnapendana nashauri ongezq tu mke mwinginine yawrzekana akawa tulizo na furaha yako. Wakati mwingine tuwe makini katika mitihani yetu
 
Pole najua unajisikia vibaya ila niuulize haya maswali halafu nikupe kisa kimoja.

1.Je ,anakupenda?
2.Anakutendea mazuri?
3.Anakuheshimu?
4.Je umeshirikiana nae katika hilo?
5.Una uhakika tatizo lenu halitokani na wewe au ukoo wenu?

Mkuu watoto ni muhimu kwenye ndoa ila pia wanaweza wakawa sio muhimu,,pindi ukiugua mtu muhimu wa kwanza ni mke wako,hata watoto wakikua watakuacha kwenda kutafuta maisha yao ila mkeo inawezekana akabaki mpaka unakufa.

Njia nyingi zipo za kutafuta hiyo furaha,kumuacha tu kisa hiko ni ukatili mkubwa sana kama ni mwema kwako kwa muda wote.

Mfano
Pale hospital kesi nyingi za namna yako zinakuja lakini ajabu majibu yanatoka mwanaume ndo shida.
1.Ananipenda
2.Ananitendea mazuri
3.Ananiheshimu
4.Kwwnye familia hakuna mwenye hyo shida ila kwao ipo
 
Back
Top Bottom