Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,703
- 3,461
Nilijua amekucheat kumbe watoto Hilo sio suala la kuachana kisa mtoto lisikuumize kichwa MUNGU anajua kwasababu ya siku ile Wenda akakupa halafu akawa shoga, jambazi au Mwana CCM ukafikilia Kumuua au akuue ww ili uwe huru au awe huru umenielewa sijuiHabari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.