princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,687
- 19,357
Hatukushauri umuache... fata ushauri wa wadau
Kuna rafiki angu kaolewa 2015 mpk leo hajazaa na hawajaachana. Vumilia mkuu huwezi jua kwanini hamzai kwa wakati huu.
Kuna mmama huku kazaa mtoto mmoja tena kwa kumtafuta sana kwa madawa kabla hajafa alijutia matendo ya huyo mtoto yalimfanya ajute kumzaa