Nafikiria kuachana na mke wangu

Nafikiria kuachana na mke wangu

Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Je, sababu za kukosa mtoto unazijua?
 
Wanaume Ni wabinafsi Sana!
Binadamu wote kiasili ni wabinafsi Mkuu .

Mfano wakienda kupima then shida ikawa kwa mwanaume lazima huyo mwanamke azae na MTU mwingine .

Ndo maana 90% ya watu wamenshauri asimuache Ila either aoe mke wa pili au azae nje

Ila hata huyo mwanamke asingevumilia
 
Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Unafikiria kuachana na mtu ambaye ameshakuacha ?
 
Je km tatizo unalo wewee?!

Kuna scenario km hii yako iliwahi kumkumba binamu yangu, kumbe tatizo lilikua kwa mumewe, sio yeye.

Kilicho fuata ni majuto kwa jamaa.
Tafakari na uchukue hatua sahihi.
 
Screenshot_20250711-164430.jpg
 
Tafuta mtoto hata sehemu nyingine bro. Ingekua wewe husimamishi, hiyo miaka mi5 asinge kaa hapo.
Kama unajiamini uko fit, tafuta kwingine. Wakati unaendelea kumtibu. Ikishindikana basi.
 
Binadamu wote kiasili ni wabinafsi Mkuu .

Mfano wakienda kupima then shida ikawa kwa mwanaume lazima huyo mwanamke azae na MTU mwingine .

Ndo maana 90% ya watu wamenshauri asimuache Ila either aoe mke wa pili au azae nje

Ila hata huyo mwanamke asingevumilia
Wanawake wengi Ni wavumilivu na wasiri Sana,achana na mashankupe,kuna uwezekano mkubwa mkewe akamvumilia!
 
Tuliza ball dogo acha papara utakuja kuumbuka. Tafuta mwanamke nje zaa nae na upime DNA kila mtoto utakayezaa nje. Usimbugudhi huyo bi dada na yeye mambo yatabadilika atakupatia mtoto vinginevyo nuksi na balaa vitakuandama. Ache mihemuko
 
Piga puchu halafu kusanya uzipeleke zikachakachuliwe kama zina vijamaa vinaogelea....
Spermcount....
 
Huyo ndiye mke wako sahihi
Utakae muwoa atakuletea watoto si wako
Ongea nae kwa upendo mwambie idadi ya watoto unayoitaka kisha chapa kwenye mchepuko baada ya miaaka kadha Lete watoto home tulia
Nakwambia ukimwacha kwaajiri ya ulemavu wake utakayika miguu na uliye muwowa atakulimbia
 
Ubinafsi sio kitu kibaya .

Ukiona mwanamke hazai ujue 90% shida IPO kwa mwanamke kwakuwa lazima Huyo mwanamke ameshajaribu Sana nje
Hapana hili nakupinga
Wanaume wengi wakishaona anasimamia shoo vizuri basi anajua anaweza kuzalisha!!
 
Back
Top Bottom