Nafikiria kuachana na mke wangu

Nafikiria kuachana na mke wangu

Hapana Ila lilikuwa tag ubavu na Kama unavyojua sisi wanaume tukiwa katika moja na mbili .

Japo yupo mmoja alishika mimba kiufupi ukiona mwanamke hazai ujue 90% tatizo lipo kwake.
😀😀😀😀
 
Umemchakaza dada wa watu sa unataka kumenya kitu kingne yeye umteme why ustafute mtoto nje ya ndoa tu halafu huyo abaki kuwa mkeo otherwise umemchoka tu hilo la kukosa mtoto ni kiungo tu
 
sasa alokwambia hormone ni tatizo permanent la uzazi ni nani?
Hormone mbona zinarekebishika?
We mpk umri huo kuna mwanamke umeshampa ujauzito?
Umeshafanya kipimo cha uwezo wako wa kutungisha mimba?( zingatia sijakuuliza iwapo unadinda au la)mana ndo huwa mnajuaga mradi unasimamisha basi unaweza kutungisha mimba.
If hujawahi kufanya kipimo cha uwezo wa manii zako kuwa na mbegu za kutungisha mimba usimwambie mwanamke hazai!
Anayezaa ni mwanamke, hivyo kutokuzaa ijulikane ni tatizo la mwanamke TU.
 
Unaelewa hiki ulichoandika?
nimekosea kidogo lakini ndivyo ilivyo kwakuwa asili ya ndoa sio mtoto au muda umefika ila ni upendo.
na Mapadre ukiwauliza watakwambia ndoa nyingi zinazofungwa huwa sio ndoa ila wanazifunga kwakuwa waliokuja wameamua kuoana na huenda huko mbele zikawa ndoa.
wako wadada wanaolewa kusudi lao ni mali za mwanaume nayo hii huwa sio ndoa kwakuwa kusudi la halisi sio upendo bali tamaa.
siko aina kama sita hivi ambazo Wakatoliki hata ukilazimisha kuzifunga zinaweza kuwa batili ikiwemo na kudanganya mfano ikiwa mmoja alificha hali yake ya uzazi huku akijua hawezi kupata mtoto lakini alimficha mwenzake ndoa hii inaweza kubatilishwa.
 
Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Huenda wew ndiye mweny tatizo mkuu, vip umefanya jitihada za kujiridhisha kuwa mkeo ndiye mwenye shida?
 
nimekosea kidogo lakini ndivyo ilivyo kwakuwa asili ya ndoa sio mtoto au muda umefika ila ni upendo.
na Mapadre ukiwauliza watakwambia ndoa nyingi zinazofungwa huwa sio ndoa ila wanazifunga kwakuwa waliokuja wameamua kuoana na huenda huko mbele zikawa ndoa.
wako wadada wanaolewa kusudi lao ni mali za mwanaume nayo hii huwa sio ndoa kwakuwa kusudi la halisi sio upendo bali tamaa.
siko aina kama sita hivi ambazo Wakatoliki hata ukilazimisha kuzifunga zinaweza kuwa batili ikiwemo na kudanganya mfano ikiwa mmoja alificha hali yake ya uzazi huku akijua hawezi kupata mtoto lakini alimficha mwenzake ndoa hii inaweza kubatilishwa.
hiki ulichoandika hapa ndio sahihi!
Na uthibitisho wa iwapo alikuwa anajua hali yake kabla hajafunga ndoa ni PALE TU, akiweza kupata cheti cha daktari kilicho nyuma ya tarehe ya ndoa yake.
Huwezi kumdhania tu mtu alikuwa anajua kuwa hana uwezo wa kuzaa kwa kuwa hamjapata watoto kwenye ndoa.
Kanisa Katoliki halitengui ndoa kirahisi namna hiyo!
Hata hiyo kuwa wengi wanakuwa na nia ya mali au lengo la mtoto.
Mradi HUWEZI KUTHIBITISHA NIA YA MTU kwa dhahania, huwezi pia kutumia hiyo hoja kwa huo mlango wa ndoa ya hivyo haijawahi kuwepo wala haitakuwepo.
Kuna vitu vingi sana mpk mfikie huo mstari wa kuvunja hiyo ndoa.
 
Kama ulimuoa akiwa Bikira usimuache,tafuteni solution
Ila kama ulimuoa ashatumika kimbia mita 100 mbele.
.....unakutana na wadada washatoa sana mimba,washaharibu kizazi,kwa kutombwa sana,ila Lisimp linakuja kutusimbua hapa kua anataka mapacha kwa huyo malaya

Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
 
Kati Yako na mkeo nani ana shida ya uzazi?
Labda wewe ndo sababu ya kutopata watoto.
 
Mungu umkumbuke mwanamke yeyote anayechelewa kupata mtoto...

Na wote tumeseme Ameeeeeen
 
hiki ulichoandika hapa ndio sahihi!
Na uthibitisho wa iwapo alikuwa anajua hali yake kabla hajafunga ndoa ni PALE TU, akiweza kupata cheti cha daktari kilicho nyuma ya tarehe ya ndoa yake.
Huwezi kumdhania tu mtu alikuwa anajua kuwa hana uwezo wa kuzaa kwa kuwa hamjapata watoto kwenye ndoa.
Kanisa Katoliki halitengui ndoa kirahisi namna hiyo!
Hata hiyo kuwa wengi wanakuwa na nia ya mali au lengo la mtoto.
Mradi HUWEZI KUTHIBITISHA NIA YA MTU kwa dhahania, huwezi pia kutumia hiyo hoja kwa huo mlango wa ndoa ya hivyo haijawahi kuwepo wala haitakuwepo.
Kuna vitu vingi sana mpk mfikie huo mstari wa kuvunja hiyo ndoa.
ni kweli na wao kiukweli wanashindwa kuzivunja kwa sababu zishakuwa taasisi (zinabeba maslahi ya wengi katika jamii) lakini ukiwabana vizuri wnakwambia hii inawezekana wanapeleka kibali kwa askofu maisha mengine yanaendelea.
 
MTOTO NI ZAWADI YA NDOA
tatizo sio yeye tatizo ni nyie
Ndio maana wazungu wanaadapt watoto n.k sio sawa kumuacha mwanamke eti kisa kachewa kupata mtoto, yaani itakosea sana, badili mtazamo wako kaka, yaani umenunua shamba kila ukipanda mazao hayaoti soln ni kuuza na kununua shamba jipya? Huku unatumia mbegu zilezile ?

Hapana utachemka vibaya, watu hawaowani ili wapate watoto wanaoana ili waishi pamoja kwenye shida na raha kucheqakupata mtoto ni shida mojawapo
 
Back
Top Bottom