uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,862
- 38,494
nimelipa mahali ila ndoa hatujafunga
Ndoa ni Nini? Mahari cement ndoa 100% miaka mi 5 pia, ila mahari hata kiroho Yana maliza issue ya ndoa
nimelipa mahali ila ndoa hatujafunga
Wewe umelileta humu hlf likaliwe kimya. Itakua wewe ndio una shida na unajua hilo. Jitibie chap maana ngoma itakua haiamki utasingizia umerogwaKama Huna cha kusema kaa kimyaa.
Heehhee.... wabongo sijui kwanini huwa mnapenda sana kunormalize jambo lolote la kimasikitiko kwa kutaja experience za watu wengi zinazofanana na jambo hilo. Hii huwa ni aina ya kipee sana ya ujinga mlionao wabongo.Hatukushauri umuache... fata ushauri wa wadau
Kuna rafiki angu kaolewa 2015 mpk leo hajazaa na hawajaachana. Vumilia mkuu huwezi jua kwanini hamzai kwa wakati huu.
Kuna mmama huku kazaa mtoto mmoja tena kwa kumtafuta sana kwa madawa kabla hajafa alijutia matendo ya huyo mtoto yalimfanya ajute kumzaa
Kwahiyo mmepimwa kwamba yeye ni TASA hana uwezo wa kuzaa au wewe ndo huzalishi?Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Walimwengu tunasema Ndoa tayari mlishafunga,,,, ...nimelipa mahali ila ndoa hatujafunga
😂😂Umemlomba miaka mitano umeacha bonge la upenyo, afu innocent boy wa watu huko anakwenda kulaumiwa hamkojoleshi
Can I help you!??tumeshapita mahospital lakini bila bila ....nimekata tamaa
😂😂Kama Ukifanikiwa Kumuacha. Na Kama Hutojali Pia....Naomba Nipasie Namba Yake....Hata Kwa Sasa Pia Kama Shaka Huna....
😂😂😂😂Pole sana kuna watu tunakimbia mimba dunia sio fair
Hii ilimtokea demu Mmoja hivi aliachika akakutana na brother akazaa mapacha 😂😂Anapewa mimba na anajifungua mapacha
Inatokeaga mara kibao, wanaume huwa hawaukubali kabisa huu ukweli....kwamba kuna muda ni wao ndio wanatoa upepoHii ilimtokea demu Mmoja hivi aliachika akakutana na brother akazaa mapacha 😂😂
inawezekana pia wewe ndo ukawa tatizoHabari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Unaachana naye leo mara baada ya miezi 5 unakuta anaenda clinic na tumbo lake kuubwa! Hujui na yeye anatamani ajaribu kwingine?nimelipa mahali ila ndoa hatujafunga
Kabisaaa...kuna dada mmoja naye alinyanyasika sana kwa mumewe hadi akampa talaka hazai, wameachana muda mfupi bidada akapata na boyfriend mimba imooInatokeaga mara kibao, wanaume huwa hawaukubali kabisa huu ukweli....kwamba kuna muda ni wao ndio wanatoa upepo
Huo nao ni unyanyasaji,Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
UKimuacha leo Mwaka huo huo wanampa MIMBAHabari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Sasa wameshindwa kubalance hizo hormone?tumeshapita changamoto ni hormone