Heehhee.... wabongo sijui kwanini huwa mnapenda sana kunormalize jambo lolote la kimasikitiko kwa kutaja experience za watu wengi zinazofanana na jambo hilo. Hii huwa ni aina ya kipee sana ya ujinga mlionao wabongo.
Kwa maana nyingine wewe hapa unajaribu kumwambia mleta mada kuwa kwa vile rafiki yako ni tasa na bado yuko kwenye ndoa mwaka wa tisa huu, basi ni sahihi tu hata huyu mleta mada aendelee kuishi na huyo mke wake tasa ilihali yeye anahitaji mtoto.
Nafikiri huu uzi uwe ni fundisho kwa vijana, kwamba kwa sasa hivi madada wengi wameshaharibu vizazi vyao, hivyo basi kabla hujaoa kwa ndoa ya kanisani hakikisha unatia kwanza mimba, hili usijekujiingiza kwenye sintofahamu kama hii.