mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,005
- 2,977
Mshahara ND tatizo
Hiyo uliyoandika 170k ni basic bila over time it means overtime hapo utamlipa 250k siyo ,nijibu hili.
Wapi hukoMimi nalipa 150,000 ila nakupa nyumba na mchana utapiga vibarua mashambani. Kazi(lindo) ni usiku kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi kumi na mbili alfajiri
Wap huko? Nafasi Bado IPO?Mimi nalipa 150,000 ila nakupa nyumba na mchana utapiga vibarua mashambani. Kazi(lindo) ni usiku kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi kumi na mbili alfajiri