Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

teetotaller

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
317
Reaction score
214
Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni ya secure net limited , yenye makao makuu yake jijini dar es salaam. inatangaza nafasi ya kazi ya ulinzi.

sifa za mlinzi anaehitajika.
Awe mtanzania

Awe anajua kusoma na kuandika vizuri,elimu kuanzia Darasa la saba hadi Chuo, pia waliopita Veta

Awe anajua kuongea kiswahili au kingereza vizuri,Namba ya nida ni Muhimu

Awe ana umri kuanzia miaka 23-45.jinsia ya kiume/ Kike

Awe anaishi Dar es salaam, kazi ipo ilala industrial area. hivyo awe maeneo jirani ili kuepuka usumbufu.

Awe amehudhuria mafunzo ya mgambo au Jkt, (kwa asiye na mafunzo awe tayari kujifunza kazi hii)

Awe tayari kulipwa mshahara wa Tsh 170,000

NB. nafasi ni chache

maombi/Cv zitumwe kupitia email hii
info@secure.co.tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom