NAFASI ZA KAZI

NAFASI ZA KAZI

Rooney Skm

New Member
Joined
Oct 4, 2026
Posts
1
Reaction score
0
OFFICE NAME: SKMQUALITY
LOCATION: KINONDONI STUDIO

Tunahusika na mifumo ya security, kufunga CCTV CAMERA, ELECTRIC FENCE, ALARM SYSTEM, MOTOR GATE, VIDEO DOORBELL NK



NAFASI ZA KAZI

1. TECHNICIAN (2 POST)

Tunahitaji kijana wa kiume ambaye yupo tayari kujifunza , mwaminifu na mchapakazi . Kazi ni ufundi wa mifumo ya security, Elimu kuanzia kidato cha nne , umri miaka 18-25. Uwe unakaa Dar es Salaam maeneo ya karibu na kinondoni.

Mshahara : 300,000/= per month


2. MARKERTING OFFICER (1 POST)


Tunahitaji kijana wa kike mwenye uwezo wa kufanya marketing, mwenye uwezo wa kujifunza na adapt products zetu, kutafuta masoko, kuhudumia wateja na kutunza office.
Jinsia: Female
Umri: miaka 20- 25
Elimu: Kuanzia Diploma
Makazi: Awe anaishi Dar es Salaam maeneo ya karibu na kinondoni studio




NB: Uwe tayari kuanza kazi mara moja na kusafiri kazi za mikoani.


TUMA MAOMBI:

Whatsapp: 0745146690
Usipige simu , tuma ujumbe pamoja na CV yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom