Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

Muogopeni Mungu wazee,huu unaofanya ni unyonyaji
 
Screenshot_20250428_224219_Chrome.jpg
 
Watu mnashangaa hio pesa hamjui watu walivyopigika kuna dogo mmoja alikuwa day worker hata sehemu ya kulala analala kwenye vibaraza alikuwa anatafuta sehemu ya kulinda usiku angalau awe anajilaza ndani ya gate.....

Watu mpo out of touch na uhalisia wa kitaa....
 
mitandao inawadanganya mkuu, waje mtaani waone watu wanalipwaje, viwanda vinalipaje.?

mtu anashangaa degree kufanya kazi hii, nawaalika ofisini waje waone degree holder kama wao wapo na wanaendesha maisha
 
Sijui kama ni kuendesha maisha ila ndio uhalisia, hata wewe mwenye kampuni yako huenda ni end to mouth na ukicheleweshewa malipo huchelewi kuuziwa nyumba yako uliyoweka bond bank..

In short it's hard times..., maisha yamekuwa ndivyo sivyo na wabongo wengi ujira hautoshi ni mwendo wa kukopa mwezi huu ili ulipe madeni ya mwezi jana...
 
Upigaji hautokaa uishe bongo(Tz) hii!
*kwa hiyo £LA nnya mnayotoa, lazima muibiwe. use.ng.e jazz band tu huu! Unaendelea
»alisikika jamaa mmoja muuza genge, huko ndani soko la buguruni! Akiongea kwa gadhabu Akitokwa povu.
 
Hiyo 170k ni take home au ndio bado haijakatwa? Ndugu
 
Sijui kama ni kuendesha maisha ila ndio uhalisia, hata wewe mwenye kampuni yako huenda ni end to mouth na ukicheleweshewa malipo huchelewi kuuziwa nyumba yako uliyoweka bond bank..

In short it's hard times..., maisha yamekuwa ndivyo sivyo na wabongo wengi ujira hautoshi ni mwendo wa kukopa mwezi huu ili ulipe madeni ya mwezi jana...
Vijana hawaelewei uhalisia mkuu, matajiri wanatulipa kulingana na kima cha chini cha serikali kwenye sekta hizi....bado TRA bado uendeshaji nk,
 
Mimi nalipa 150,000 ila nakupa nyumba na mchana utapiga vibarua mashambani. Kazi(lindo) ni usiku kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi kumi na mbili alfajiri
mkuu tena hapo nalipa vizuri sana, ingia mtaani uliza watu wanalipwaj
 
Dah maisha haya, hivi atakua analinda usiku kucha? Baridi+mbu kwa 170k🙄
Inasikitisha sana, hapo anaenda kibaruani mwezi mzima akisubiria hiyo laki na sabini kweli!!!
Bado hajaiachia familia, hawajaumwa, michango ya kifamilia, nauli.

Halafu kutana na viongozi hata kama aliishia std 7. Yuko kwenye V8, ghorofa Mbweni, vimada kama wote, watoto wanasoma nje. Nchi za kiafrika maisha ya viongozi na wananchi ni kama ardhi na mbingu!!!
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni ya secure net limited , yenye makao makuu yake jijini dar es salaam. inatangaza nafasi ya kazi ya ulinzi.

sifa za mlinzi anaehitajika.
Awe mtanzania

Awe anajua kusoma na kuandika vizuri,elimu kuanzia Darasa la saba hadi Chuo, pia waliopita Veta

Awe anajua kuongea kiswahili au kingereza vizuri,Namba ya nida ni Muhimu

Awe ana umri kuanzia miaka 23-45.jinsia ya kiume/ Kike

Awe anaishi Dar es salaam, kazi ipo ilala industrial area. hivyo awe maeneo jirani ili kuepuka usumbufu.

Awe amehudhuria mafunzo ya mgambo au Jkt, (kwa asiye na mafunzo awe tayari kujifunza kazi hii)

Awe tayari kulipwa mshahara wa Tsh 170,000

NB. nafasi ni chache

maombi/Cv zitumwe kupitia email hii
info@secure.co.tz
HUo mshaara mdogo sana nyie huko askri mnamkodisha kwa laki 7500000 alafu yeye mnamlipa 170? Ndio maana wanawaibia wanalala mbele
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni ya secure net limited , yenye makao makuu yake jijini dar es salaam. inatangaza nafasi ya kazi ya ulinzi.

sifa za mlinzi anaehitajika.
Awe mtanzania

Awe anajua kusoma na kuandika vizuri,elimu kuanzia Darasa la saba hadi Chuo, pia waliopita Veta

Awe anajua kuongea kiswahili au kingereza vizuri,Namba ya nida ni Muhimu

Awe ana umri kuanzia miaka 23-45.jinsia ya kiume/ Kike

Awe anaishi Dar es salaam, kazi ipo ilala industrial area. hivyo awe maeneo jirani ili kuepuka usumbufu.

Awe amehudhuria mafunzo ya mgambo au Jkt, (kwa asiye na mafunzo awe tayari kujifunza kazi hii)

Awe tayari kulipwa mshahara wa Tsh 170,000

NB. nafasi ni chache

maombi/Cv zitumwe kupitia email hii
info@secure.co.tz
Hii ni dhuluma, kwa mshahara huo kwanini walinzi wasiibe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom