barbieloree
Member
- Jan 2, 2024
- 35
- 91
Habari wana JamiiForums.
Natafuta nafasi ya kazi yoyote nitakayopewa kulingana na uwezo wangu. Kwa sasa sina ujuzi maalum wa kitaalamu, lakini niko tayari kujifunza, kufanya kazi kwa bidii na kufuata maelekezo.
Nipo Dar es Salaam na niko tayari kuanza kazi mara moja.
Kama kuna mtu anajua nafasi ya kazi au kampuni inayohitaji mtu wa kuajiriwa, naomba mnisaidie kwa mawasiliano.
Asanteni sana