R_Breazy
JF-Expert Member
- Aug 28, 2025
- 281
- 563
Waajiri/ wakuu mliomo humu tupeane majukumu wakubwa.
Kupata kazi ukiwa huna kazi ni kipengele sana, kazi yoyote ambayo naweza kusave hata 5k per day nje ya kula na usafiri niko tayari kufanya kwa uaminifu mkubwa, najua kutumia kompyuta vizuri online application na daily basic use;
nyaraka zote ntaambatanisha
Vyeti
NIDA
Barua ya utambulisho wa makazi
Barua ya mdhamini
Passport
Hata kukutanisha na ndugu nipo tayari Sababu SAIVI swala la uaminifu limekuwa suala nyeti sana
Phone: 0769442907
Mwenye connection ya mchongo nchi za nje anisanue pia agent fee ntalipa japo pia akinisaidia bure itapendeza, ila nipo tyr kulipa agent fee
Kazi iwe na visa, fare & accomodations sehemu ntakapohitajika.
Natanguliza shukrani