Yani naelekea kufukuzwa ninapoishi kodi.Nina ka bachelor ka education dada,ila kwa sasa nafanya yoyote.Jamani pole! Elimu yako please niangalie nakusaidiaje..
Ona kama umesoma education kwanini usianze kazi hata za mishahara ya chini? mbona huwa napost sana kuhusu kazi hizo humu! au hutaki hizo?Yani naelekea kufukuzwa ninapoishi kodi.Nina ka bachelor ka education dada,ila kwa sasa nafanya yoyote.
Hivi naweza wasiliana nawe privately.
Nimeona na nimezielewa nyingiii, nilikuwa natamani msaada wako my dada.Ona kama umesoma education kwanini usianze kazi hata za mishahara ya chini? mbona huwa napost sana kuhusu kazi hizo humu! au hutaki hizo?
Sawa,samahani nimejaribu kuku PM Nimeshindwa. Ninaomba nikupe details za ziada privately ili ujue namna ya kunisaidia ndugu yangu.Basi omba kwanza
Kiukweli msaada mkubwa ninaotoa humu ni kupost tangazo tu! Maana sihusiki direct hata kama utanitumia mkuu.Sawa,samahani nimejaribu kuku PM Nimeshindwa. Ninaomba nikupe details za ziada privately ili ujue namna ya kunisaidia ndugu yangu.
Sawa,nitazingatia matangazo ili ninayo qualify niombe.Asante ubarikiweKiukweli msaada mkubwa ninaotoa humu ni kupost tangazo tu! Maana sihusiki direct hata kama utanitumia mkuu.
Dj FacebookUkiona za ma Dj niwekee hapa
Dah 😂Dj Facebook
Leo nmetoka NEMC Kuomba nafasi ya intern nmeambiwa niandae CV nipeleke, nimesoma sheria kumbuka kila ofisi natembea hakuna kulala, kesho naamkia NIDA, nkitoka hapo nacheza na uhamiaji (migration) then namaliza na mahakama ya mirathi, ipo temeke hapo hapo nimeambiwa nipeleke CV, mkuu uangalie ulichosomea ingia kila ofisi ambayo ina relate hata kama ni kwa mbali omba kazi hawana omba kujitolea piga kazi😅😅🙏🙏 muda mwingine ili upate kazi lazima uwe na kaziSeran Environment science nina mzigo natamani kuutua. AFISA MAZINGIRA sijawahi kuziona hapa kwako.
Sasa huo mzigo wangu upo mkoani. Pambana maisha nilukumba lukumba upo sahihi hujui upepo utakukuta wapi.Leo nmetoka NEMC Kuomba nafasi ya intern nmeambiwa niandae CV nipeleke, nimesoma sheria kumbuka kila ofisi natembea hakuna kulala, kesho naamkia NIDA, nkitoka hapo nacheza na uhamiaji (migration) then namaliza na mahakama ya mirathi, ipo temeke hapo hapo nimeambiwa nipeleke CV, mkuu uangalie ulichosomea ingia kila ofisi ambayo ina relate hata kama ni kwa mbali omba kazi hawana omba kujitolea piga kazi😅😅🙏🙏 muda mwingine ili upate kazi lazima uwe na kazi
(Bahati nzuri tu sheria ina uwanda mpana kila sehemu unaweza kujipenyeza as HR, LEGAL OFFICER, ADMINISTRATIVE etc) Nje na kazi za sheria
Toka mkoani mzee, nje na hapo fanya kilimo au kama unasubiri mchongo uwe tayari una watu wa kukupa gape huko mkoani ,DSM changamoto ni nyingi ila pia fursa ni nyingi pia.Sasa huo mzigo wangu upo mkoani. Pambana maisha nilukumba lukumba upo sahihi hujui upepo utakukuta wapi.