Supapawa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2026
- 900
- 2,169
Itabidi tuwazoee tu!Tena ana kisebusebu hatari!
Itabidi tuwazoee tu!Tena ana kisebusebu hatari!
Tukisema Wakina Mwijaku, Dotto Magari wanatuharibia vijana na wadogo zetu inaonekana tuna wivu . Maana wale jamaa huwa wanadaka tu. Na huyu No kufake naye aunge trailer kama anapenda kuomba ombaHuwa hataki hata ukimtag haji yeye anachotaka ni atumiwe pesa😁
Kiongozi nipe michongo ya Dodoma kama IPO nitafute adaTukisema Wakina Mwijaku, Dotto Magari wanatuharibia vijana na wadogo zetu inaonekana tuna wivu . Maana wale jamaa huwa wanadaka tu. Na huyu No kufake naye aunge trailer kama anapenda kuomba omba
Endelea kutembelea huu uzi michongo utaipata tuKiongozi nipe michongo ya Dodoma kama IPO nitafute ada
Sawa kiongozi shukhrani🙏🙏🙏Endelea kutembelea huu uzi michongo utaipata tu
Huyu hata msimamo hana sijui kama kazi ataiweza!Tukisema Wakina Mwijaku, Dotto Magari wanatuharibia vijana na wadogo zetu inaonekana tuna wivu . Maana wale jamaa huwa wanadaka tu. Na huyu No kufake naye aunge trailer kama anapenda kuomba omba
Msimamo upi tena ? 🤣Huyu hata msimamo hana sijui kama kazi ataiweza!
Malezi ya huruma utotoni madhara yake ndio yanaonekana sasaWa mambo yake anayofanya kuna kipindi alikubali haombi tena pesa pamoja kudhalilika lakini hasikii!