Nadhani si vizuri na haipendezi

Nadhani si vizuri na haipendezi

Kwani Merry wewe ni Mrembo?Unamaisha ama?Maana humu ndani ukshambuliwa sana ama ni Single Maza ama hujielewi.Kama unajielewa kuna watu watakuoa hata mke wa pili na watakupa maisha
Mimi si mrembo ila ni mzuri ,mtaani,na kila sehemu najulikana Kwa uzuri,
Miye mwenyewe kioo hunaimbia ni beautiful girl
 
Mimi si mrembo ila ni mzuri ,mtaani,na kila sehemu najulikana Kwa uzuri,
Miye mwenyewe kioo hunaimbia ni beautiful girl
The relax kisha UJE INBOX tukaguane.Usilalamike sana mtandaoni unakuwa unaukosea uzuri wako.Ukiwa mrembo aka mzuri basi unatkiwa uwe na utulivu ili uoleke
 
Shikamoon wakubwa

Wadogo zangu hamjambo!

Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.

Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini

Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
Bahati isivyo ndivyo.
 
Marry umekuwa famous kiasi kwamba ukianzishwa uzi wa anonymous raia wanajua huo uzi unakuhusu wewe.
Ama kweli kuwa uyaone.

Au wewe ndiye yule cutelove wa Mwanza aliyepewa nauli ya 7200 miaka ile ya Magufuli.
Kwani huo Uzi alioanzishiwa unasemaje?
 
Shikamoon wakubwa

Wadogo zangu hamjambo!

Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.

Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini

Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
Nimejaribu kukuzoom, nikaona umenuna, umechukia na una huzuni kweli ya kuumizwa. Pole sana marry 🥹
 
Back
Top Bottom