La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 678
- 1,285
pole dada take it easy
Na wakituzingatia watapata depression 😹😹😹Ukiwa serious sana JF na kuona kila kitu humu n cha kukiweka wenye maisha yako, utajiumiza.
Kuna wawendawazimu pia humu, mbaya zaidi ni kuchukua wanayoyasema na kuyaweka Kwako.
Muacheni mdada aendelee kuumizwa kichwa na watu wa humu, bado hajakomaaNa wakituzingatia watapata depression 😹😹😹
😹😹😹 Tatizo unapenda sana kujionyesha ili uhurumiwe.. Ona sasa ushayakanyaga..!!Dah watu wameshanidukua na kujua mm n kilema, kinachoniuma n Kwann aseme hadharani 😭 huu n udhalilishaji kwa sisi walemavu
😹😹😹 JF haitaki maelezo mengi..!!Muacheni mdada aendelee kuumizwa kichwa na watu wa humu, bado hajakomaa
Kama mimi nilitaka nikupose marry ila nilivyosikia unanjaa nikaogopa coz njaa na ny*ge havikai nyumba mojaShikamoon wakubwa
Wadogo zangu hamjambo!
Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.
Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini
Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
Najuta kumtumia picha yangu pm, nilijua akiniona mm n mlemavu atanihurumia Kwamba Siwez kumuumiza 😭😹😹😹 Tatizo unapenda sana kujionyesha ili uhurumiwe.. Ona sasa ushayakanyaga..!!
ukiwa na njaa always hupati ashki ukiona umepata nyeg ujue umeshiba.Kama mimi nilitaka nikupose marry ila nilivyosikia unanjaa nikaogopa coz njaa na ny*ge havikai nyumba moja
Basi endelea tu kukaza mpaka genye zikuuwe.Sina upweke
Hii hautaimaliza mwenyewe ngoja nikuitie secretarybird msaidizaneNipishe huko weee kilema
njaa kibokoukiwa na njaa always hupati ashki ukiona umepata nyeg ujue umeshiba.
"Maua" umebadili ID ila content zako ni zile zile tu!
Mtu ambaye unadanlodi picha ya mwanaume mwenzio na kuweka kama avatar unaweza kuniposa mimiKama mimi nilitaka nikupose marry ila nilivyosikia unanjaa nikaogopa coz njaa na ny*ge havikai nyumba moja