Nadhani si vizuri na haipendezi

Nadhani si vizuri na haipendezi

Shikamoon wakubwa

Wadogo zangu hamjambo!

Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.

Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini

Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiTuambie kwanza ulimpeleka wapi tajiri wa kusi
 
Kumekuchaa! Ngoja konyagi zinishke vizur nije na ujinga wangu sasa. Aliyeniita ujinga huu uzi autoroke au anigawie akili zake
 
Huyo anapitia stress za kutokuolewa
kumbee. Sasa alivokuwa anapga umalaya wake mbona hakutuambia tumshauri pakwenda leo anakuja na story za na nadhani sio vizuri. Afunguke iwe rahisi kumsaidia na sio story za KUDHANIA
 
kumbee. Sasa alivokuwa anapga umalaya wake mbona hakutuambia tumshauri pakwenda leo anakuja na story za na nadhani sio vizuri. Afunguke iwe rahisi kumsaidia na sio story za KUDHANIA
Hakunaga mwanamke single aliye timamu
 
Huyo anapitia stress za kutokuolewana

kumbee. Sasa alivokuwa anapga umalaya wake mbona hakutuambia tumshauri pakwenda leo anakuja na story za na nadhani sio vizuri. Afunguke iwe rahisi kumsaidia na sio story za KUDHANIA
Wewe ni mjinga,na Malaya mama yako aliyepanua miguu Kwa Baba yako ,sasa ungezaliwa vipi,Mimi na mama yako wote ni malayaa
 
Wewe ni mjinga,na Malaya mama yako aliyepanua miguu Kwa Baba yako ,sasa ungezaliwa vipi,Mimi na mama yako wote ni malayaa
tabia yako nimegundua kila mwana jf anakujua na kwa taarifa yako kumbe sio mim wa kwanza kukusema hapa, kuna uzi mwingne mtu kakutaja kule ngoja nirud nikutag uusome pumbavu. Ndo utoe matus sawa sawa.
 
Kaka achana naye huyo hajui anachokipambania kwenye maisha
 
poa bro ila huyu dem ana shobo kweli kweli kumbe wanamjua humu nimemtag asome huo uzi aliotajwa
Hawezi olewa huyo inaonekana kipindi yupo kwenye form alikuwa anaringa sana nyakati za lala salama ndo kaanza kutapatapa
 
Ajira gan bongo hii rafiki yangu fanya kozi yeyote bro itakusaidia na kwanza upo mkoa gani
 
Back
Top Bottom