Nadhani si vizuri na haipendezi

Nadhani si vizuri na haipendezi

M
Shikamoon wakubwa

Wadogo zangu hamjambo!

Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.

Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini

Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
Mcheki kaka Mshana Jr umnyooshe mbaya wako
 
Pole sana mkuu

Waza kuwa ni moja ya mistakes ulizofanya, kum trust mtu ambaye is not trustworthy…

Am sure kuna makosa mengine kwenye mahusiano umefanya na ukapita salama, so na Hili litapita tu,,,

Kuna watu sijui ni immaturity ama basi tu ni makatili, ukiachana nako kataku blackmail , ilimradi tu kukuumiza kihisia usi move on…

Usiumie sana kuna watu wame experience worse
 
Shikamoon wakubwa

Wadogo zangu hamjambo!

Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.

Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini

Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
usiseme unadhani, sema sijapendezwa kabisa ! kuna thread mtu ameandika anatafta mke tena single mother jamaa mmoja anaandika mtafute Marry D.
 
Dada Marry, yule aliekuanzishia uzi ni huyu ELI COHEN Choko bwabwa humu tunamjua
Usipoteze muda na machoko haya yanajua kuchambana kushinda wanawake, huwa wanajianziashiaga vi mada vyao na kukutana humo wakiwa wanacheza vigodoro
 
Nomadiq sio wewe kweli umemfungulia uzi Marry D 😹😹😹

Marry buana, sasa watu wa humu ndo wanakupa stress hivyo?
Punguza kudeka last born wa JF

Nwei ulipotelea wapi mahi?
umeanza ukorofi umeshatoka kifungoni 🥱😅
 
Unaonekana bado wewe ni mtoto sana au bado una utoto sana. Yaani kuambiwa hayo ndio uje kumshtakia jf. Sasa kumshtakia na kumpotezea kipi bora. Marry Diana ilikuwa utumie japo akili ya kuzaliwa kwa kumtumia ujumbe mkayamaliza wenyewe coz ni kama mnafahamiana. Au ulikua umblock au kum ignore. Je kama n x wako achambwe humu afu mje mrudiane nani ataonekana mjinga na mnavorudiana na kupost misemo yenu. Mda mwingne jaribu kujua na kufaham kuwa tusi haliui bali linakujenga. Mfano labda ashakutumia nauli na ya kutolea na wewe ukawa zuchu kuwa huendi kwa nin asikufungulie uzi? Jifunze kunyamaza au kama huwez kunyamaza tembea na maji ya kunywa mda wote na utanishukuru baadae. (usiulize maji ni ya nin)
 
Wewe ni mjinga
 
Kama unajua yasemwayo kuhusu ni uongo mtupu kwanini usipotezee tu kukaa kimya kuliko kuja humu kujaza servers za Melo bure
 
Shikamoon wakubwa

Wadogo zangu hamjambo!

Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.

Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini

Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
Pole,ama kuhusu maisha yako bunafsi,jipange vizuri sana na uamua mambi yafuatayo:
1.Nini malengo yako hapa duniani
2.Ukishayajua malengo yako,panga mkakati wa kuyafikia malengo hayo,ambayo yapange kwa awamu.
3.Weka vipimo vya kuyatambua malengo hayo
4.Andaa hadhari au hatari zinazoweza kukuharibia malengo hayo na mbinu za kuzikabili hatari hizo
Mwisho,unapokuwa ndani unafanya shughuli zako,nje zipo kelele nyingi,sasa uamuzi uko kwako,kuendelea na shughuli zako au kupoteza muda wako kusikiliza hizo kelele za nje
 
Asante
 
Back
Top Bottom