Nadhani si vizuri na haipendezi

Nadhani si vizuri na haipendezi

Siwezi kuwa na mwanaume anayeshinda mtandaoni
kwani Baba mtakatifu91 ulishamwambia huyu kuwa unamuoa na afu unashnda mtandaoni. Bt cku hizi kila kitu ni online mda wa kwenda posta ulishaisha babygal. Sa hivi ili upate ajira japo ya kusema umeajiriwa inakupasa uwe mzoefu wa mtandao. Sasa wewe kaa hapo na bundle la kukopa na kuleta mada za nyefnyef. Nataman nikuone nijue wewe ni lita ngapi
 
Back
Top Bottom