Nadhani si vizuri na haipendezi

Nadhani si vizuri na haipendezi

Shikamoon wakubwa

Wadogo zangu hamjambo!

Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.

Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini

Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
Marry umekuwa famous kiasi kwamba ukianzishwa uzi wa anonymous raia wanajua huo uzi unakuhusu wewe.
Ama kweli kuwa uyaone.

Au wewe ndiye yule cutelove wa Mwanza aliyepewa nauli ya 7200 miaka ile ya Magufuli.
 
Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
Sio sawa kabisa na sitaki kuzisikia habari hizi nnavyojua mimi mahusiano yanajengwa ndani ya dakika 2 za mwanzo kabisa pale mnapokutana ndio unaweza kujenga unforgettable moment na pia unaweza ukaharibu mazima especially unapoleta utani wa kijinga tunaita bad jokes halafu umekesea timing
 
Shikamoon wakubwa

Wadogo zangu hamjambo!

Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.

Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini

Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
si kweli kwamba wanaume waliotulia hawapo,
ispokua wanaume hao kamili, hawapendi kabisa kuendelea kua na mahusiano na mwananmke ambae hajatulia.
asses yourself ikiwa unaumizwa na kila mahusiano unayoanzisha.

ngoja nikupe siri moja ya wanaume kamili wasio na mbambamba kweny mahusiano,
mwanaume kamili ukishamvulia nguo zako na akaiona mbususu na sundrundru yako zilivyo, ili aendelee kua na wewe itategemea na tabia yako. ikiwa nzuri ataweka makazi ya kudumu na ikiwa mbaya kamwe hawezi kupoteza wakati wake kwako.

Jambo la pili,
ikiwa wewe mwenyewe unajijua kabisa kwamba huna njaa,
halafu from no where anatokea mtu na kukuambia au kukutangaza kua una njaa, yanini kupanic hali ya kua huna njaa?

nadhani njia nzuri zaidi ni kumpuuza tu na kuendelea na maisha yako kuliko kupoteza muda na nguvu kupambana na kisichokuhusu. Be you & move on
 
Back
Top Bottom